lulula
Member
- Nov 20, 2016
- 79
- 44
Haa ha ha
Haa ha ha
Ukisikia Ubutu wa akili ni aina ya wizi huuWalimwibia mdada moja majuzi sh laki 4. Akalia kilio cha mbwa na hakupata hata aliemfutia machozi.... Mtu hata hujashiriki mashindano yoyote unaambiwa umeshinda na unakubali km zuzu
Kama umeshinda milioni na wanataka laki, si unawaambia wakate laki yao wewe wakutumie laki 9Wanakupigia simu kwa namba 0743340917 na nyingi nyinginezo wanakwambi umeshinda kitita cha million MOJA, wakaendelea, ili niipate hiyo pesa (1mil) basi nitume sh laki MOJA kwa namba ,0743340917
Wanakupigia simu kwa namba 0743340917 na nyingi nyinginezo wanakwambi umeshinda kitita cha million MOJA, wakaendelea, ili niipate hiyo pesa (1mil) basi nitume sh laki MOJA kwa namba ,0743340917
Dah huu c utapeli sasa mana knowledge inayotumika ni ndogo sana...less than 0..ni sawa na kuomba kwahyo anaetuma katoa msaadaWanakupigia simu kwa namba 0743340917 na nyingi nyinginezo wanakwambi umeshinda kitita cha million MOJA, wakaendelea, ili niipate hiyo pesa (1mil) basi nitume sh laki MOJA kwa namba ,0743340917
Ni ulaghaihuo sio utapeli bhana think twice
Pia walishawai kuniambia huu ujinga..!nikawaambia sitaki Huduma yoyote.Wajinga hawa kuna wengine wanajiita Tigo Bima. Wanakupigia kukwambia kwamba namba yako imechaguliwa kujiunga kwny huduma ya tigo bima kwa punguzo maalumu hivyo tuma shilingi 9999 au 2200 kwa ajili ya bima.
Nikawaambia nitaenda kwenye ofisi zao kukamilisha huduma hii wakawa wapole na kukata simu....wizi mtupu ni mdada anaongea vizuri anakutaja jina lako sawa sawa kabisa.
WasukumaMmh! Bado siamini kama kuna watu wanaweza kuibiwa kirahisi hivyo
na kuna mtu anatuma hiyo laki halafu analia eti katapeliwa