Maajabu ya Mwanamke

Maajabu ya Mwanamke

Mwanamke ni kuimbe dhaifu na itabaki kua ivyo ila udhaifu wao hautokan na wao kushindwa kufanya hayo uliyoyataja bali nikwasababu ni kiumbe complex na huo ndio ukamilifu wao.Na iyo iliwekwa makusudi na aliyewaumba maana kama mwanamke angekua na akil,mawazo na maamuz kama mwanaume dunia ingekua mahali pa shida kuishi.Ila Muumba alimfanya mwanamke kua dhaifu kimwili na kihisia alafu akampa nguvu zamapenzi alafu mwanaume akapewa akili nying,maamuz thabiti,misuli yenye nguvu alafu akampa udhaifu kwa mwanamke.Kwaiyo tunasema niviumbe dhaifu sio kwa nia yakuwashusha au kuwadhalilisha bali nikwakua wanaume tunashindwa kuwaelewa wanawake nawakat mwingine tunalazimisha wafikiri nakutenda kama wanaume kitu ambacho hakiwezekani.Endapo wanaume tungeacha kuwatafsiri wanawake kwakutumia akili zetu zakiume na wanawake nao wangeamua kutumia akili zao kutafsiri matendo yao bila kutegemea mtazamo wa akili zamwanaume nadhani leo tusingekua tunaongelea neno udhaifu kwa mwanamke maana hadi hapa tulipofikia matendo ya mwanamke nimakubwa na hatari zaidi kuliko wanaume.Ila pia tumshukuru Mungu kuwaumba ivyo na wanaume tukapewa udhaifu kwao maana vinginevyo kungekua na vita kubwa sana yakijinsia duniani.
 
Utofaut kati ya mwanamke na mwanaume tofauti na maumbile ni kwamba ubongo wake unatoa umeme muda wte ule,,,na sifa kuu wamekosa kujiamin kwa kila jambo,,sekta pekee inayowatesa ni kutokujiamin ndio maana anaweza sindikizwa dukan usiku na mtoto wa miaka minne wakat yeye ana miaka 30
 
Shauri yako.. wewe danganaya uma tuu... Mungu anakuona... "God is watching you"

Tangu lini umeanza kuwa msemaji wa Mungu, he was watching me since I was born and he'll keep on watching me till the day I die... you know why..... mimi ni sura na mfano wa Mungu as he said.... I resemble him.... when you see me you see God.... (tutapishana tafsiri tuu ya haya maneno ila ndivyo ilivyo, bisha hadi lyamba .......teh)

Hapo kwenye red unatilisha huruma, yaani umechanganyikiwa na wanawake hadi unachapia maneno hata huelewi unaandika nini masikini..... poyee toto....😀😀😀

Halafu, shauri langu nilishakupa uhangaike nalo lakini huachi lirudia....

Usiku mwema....
 
"Mwanamke ndio alionifanya nikafukuzwa Eden na anaponipa tunda nasikia bado nipo Even"-Joh Makini
 
WAKATI WEWE UNAAMKA ASUBUHI NA KUMTXT MPENZI WAKO "ZA ASUBUHI/KUNA MWANAUME MWINGINE ANAMTXT MUDA HUO HUO NA KUSEMA USIKU WA JANA ULIKUWA POAH SANA ASANTE KWA PENZI LAKO

BRO KAMA UNAMUOGOPA MUNGU BASI KUMBUKA NA KUMUOGOPA MWANAMKE
 
Ni kiumbe dhaifu km tulivyokalilishawa, ila kiuharithia Mwanamke sio kiumbe dhaifu,Ni kiumbe hatari Sana,hakuna aliyewai kumuelewa kiumbe huyu,hata wao kwa wao hawaelewanagi..

Hana sauti ya simba,hana nguvu za kupigana,ila anauwezo wa kumuadhibu yeyote,au kwa kumtumia mwanaume,au yeye km yeye kukunyoosha na ukanyooka..

Penye wanaume 10,Ni wanaume wawili pekee ndio wanauwezo wa kupingana na akisemacho mwanamke,na Kati ya hao wawili Ni mmoja pekee ndio anauwezo wa kupingana ana kwa ana na kiumbe huyuu, uyu mwinge atakataa kwa meseji..
We jiulize kwanini Mama Clinton alishinda kura za wote,ila akashindwa kwenye kura za wajumbe..

Habari wana MMU..
malkia wa nguvu. Linah
 
Back
Top Bottom