Recent content by ramannzuri

  1. R

    Mwanamke jifunze haya

    Zipo kaka niuhitaji wako tu
  2. R

    Mwanamke jifunze haya

    mwenye masikio na asikie...nimefurahi rakin usikasirike
  3. R

    RC Gambo ameikosea Mamlaka, aondolewe haraka

    Kila kitu mnakimbilia kusema muondoe haraka madarakan kisa upinzan umenyimwa nafas ya kutoa Neno msibani aiseeeee.
  4. R

    99% ya wenye tatizo la ATHMA wamepona.

    Mambo ya matibabu kama haya yaweke waz na gharama zake kwan sio siri na wateja wako wanaongeza uaminifu harafu ndo unaweka na mawasiliano yako.Sasa ukiacha vingne bila kuvike waz na watu wanajua haiwwz kuwa bure na ni mambo ya kiafya kama hayo!!
  5. R

    Nimetia aibu kubwa ukweni

    Maada zingne zinafurahsha na kufundsha pia nimecheka sana
  6. R

    Flora Mbasha anakualika kwenye ndoa yake

    Ukizaa mtoto wa kike usimuite Flora ni uchafu kabisa,hili jimama limenifanya nikasilike sana hafai kuwa mke tena kwan namuona kama Malaya wengne wa mtaan.
  7. R

    Urusi yasema Uingereza ikiichokoza, itaifuta kutoka uso wa dunia!

    Hongera sana na Mm nimeishi jilan na mahakama kwahiyo naifaham sheria ni baraa.
  8. R

    Urusi yasema Uingereza ikiichokoza, itaifuta kutoka uso wa dunia!

    Lazima ukanyage?yalikuwa mawazo yangu tu kjana.
  9. R

    Urusi yasema Uingereza ikiichokoza, itaifuta kutoka uso wa dunia!

    Niseme tu ukwel hakuna taifa ninalolipenda kama Wingereza tukiacha taifa mama Tanzania,nikisikia taifa lolote linamkorofisha mwngereza nakasirika sana,tena mwingereza Sera zake zinaupendo sana huwa hapend ukandamizaji kama hawa wengne,mfano kwenye ubaguz wa rangi kapambana mpaka mataifa yote...
  10. R

    Urusi yasema Uingereza ikiichokoza, itaifuta kutoka uso wa dunia!

    Mm nawaza Manchester utd nitaiachaje kuiona wakat vita vikianza? Bora vita isije maana napata raha sana kushabikia mpira,kama wanataka Tim za taifa zishindane atake shinda ndo bingwa wa vita wengne itabid wamuheshim sana.lakin kwa nukria hapana weee sitaki kuiacha man utd yngu.
  11. R

    Urusi yasema Uingereza ikiichokoza, itaifuta kutoka uso wa dunia!

    Mm nawaza tu nitaachaje kuangalia Manchester utd yangu,kisa wajinga hawa tena waache kabisa kama wanataka timu za taifa zishindane atayeshinda ndo bingwa wa vita vya dunia,nukria zao wapeleke huko.
  12. R

    Amini usiamini Leicester City wanaenda kuchukua UEFA champions league msimu huu

    Nakubaliana na mtoa Uzi maana uwezo na bahat ni vitu viwil tofauti.mda mwingne bahat inazid uwezo!!
  13. R

    Spika awataka Freeman Mbowe na Halima Mdee wafike mbele ya Kamati ya Maadili. Matusi yawagharimu

    Yaan wapinzan wetu hawa ni hatari sana,sehem kubwa nimeona hata wafwasi wao wanatumia matusi katika mabishano,sasa toka mbowe hadi wafwasi wote matusi najiuliza je wataweza kushika dola kweli,?Amboyo inajalibiwa na kila mtu,kila taifa na matatzo kila kona,hawa hawawez kwakwel labda kusaidia tu...
  14. R

    Mfanyakazi asimamishwa Clouds kwa kutangaza habari ya Paul Makonda, TEF yaitaka mitandao iunge mkono

    Ni kwann MTU akifukuzwa au kusimamishwa kazi hua watu wanafurahia??hii nimeiona kwa watu wengi sana na kinachosababsha in nn??
Back
Top Bottom