Urusi yasema Uingereza ikiichokoza, itaifuta kutoka uso wa dunia!

Tanzania tuna madini ya Uranium kwa wingi na wataalam wa nuclear physics Kama Dr. Gharib Bilal kwa nini tusianze kujenga makobora ya nuclear incase ikilipuka nuclear war na sisi tuweze kushambulia endapo tutachokozwa?

Yaani Mkuu umenichekesha sana..kweli JF is where we dare talk openly! Asante sana.
 
Nadhani humjui mrusi, huyo muingereza atapotezwa kweli

Afghanistan wakina Osama enzi hizo wakiwa vijana waliwaonyesha kazi hao Warusi wakakimbia.Mrusi amuwezi Muingereza kabisa , Waingereza wana nidhamu ya hali ya juu sana kijeshi , na fedha wanayo pia. Uchumi wa Urusi uwezi kulinganisha na Uingereza.
 
Tanzania tuna madini ya Uranium kwa wingi na wataalam wa nuclear physics Kama Dr. Gharib Bilal kwa nini tusianze kujenga makobora ya nuclear incase ikilipuka nuclear war na sisi tuweze kushambulia endapo tutachokozwa?
Mikataba ya kimataifa eti haituruhusu! Funny, isn't it.
 
.sio simple hvyo kijana,uingereza ni nchi kubwa na ina experience kubwa kwe medan za vita,ukiishambulia kwa nuclear tegemea tu counterstrike
Mkuu naona its the other way round!

Uingereza inataka kujihajikikishia the 1st strike authority, na ndo mrusi akamjibu kuwa atakiangamiza kisiwa, kama ikipigwa.
 
Mm nawaza tu nitaachaje kuangalia Manchester utd yangu,kisa wajinga hawa tena waache kabisa kama wanataka timu za taifa zishindane atayeshinda ndo bingwa wa vita vya dunia,nukria zao wapeleke huko.
 
Mm nawaza Manchester utd nitaiachaje kuiona wakat vita vikianza? Bora vita isije maana napata raha sana kushabikia mpira,kama wanataka Tim za taifa zishindane atake shinda ndo bingwa wa vita wengne itabid wamuheshim sana.lakin kwa nukria hapana weee sitaki kuiacha man utd yngu.
 
Niseme tu ukwel hakuna taifa ninalolipenda kama Wingereza tukiacha taifa mama Tanzania,nikisikia taifa lolote linamkorofisha mwngereza nakasirika sana,tena mwingereza Sera zake zinaupendo sana huwa hapend ukandamizaji kama hawa wengne,mfano kwenye ubaguz wa rangi kapambana mpaka mataifa yote yanafurahia.
 
Unajidanganya, na inaelekea wala huujjakanyaga huko UK.
Hakuna taifa wabaguzi kama hao.
 
Tanzania tuna madini ya Uranium kwa wingi na wataalam wa nuclear physics Kama Dr. Gharib Bilal kwa nini tusianze kujenga makobora ya nuclear incase ikilipuka nuclear war na sisi tuweze kushambulia endapo tutachokozwa?
 
Ndo kwanza kumekucha full ubabe tu, Unaweza kumiliki makombora ya nuclear ukawahiwa yakaripuka kwenye ardhi yako hapo ndo utaelewa, kuonyeshe mikono juu siyo mwisho wa kipigo
 
Hongera kwa kuona mwanga ule ule mkuu.

QUOTE="Tim Choice, post: 20855650, member: 174235"]Na hili huwa watz mnaliendeleza kotekote hata kwenye masuala ya kielimu,biashara na miundombinu huku Afrika Mashariki,hampendi kuwashirikisha majirani, mnapenda vya "kivyenu kivyenu"..mara bla bla!..hatuwaitaji,mara..bla bla mtatupora,siku hizi hakuna aliyena muda nanyi tena, mtaendelea kuona vikielea kwa wenzenu,dunia hii hakuna anayeweza pekee yake..ahsante kwa kuliangazia hili mkuu!,waamshe watz wenzako.[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom