Mwanamke jifunze haya

Mwanamke jifunze haya

Hata wewe mwenyewe huwezi zingatia yote hayo. Kwa kifupi haiwezekani na hayupo wa hivyo.
Usione mwanamke kamyamaza ukasema yameisha moyoni mwake...
na 8 hapo usiseme, hujakutana na mawifi weye!, mashemeji wenye nyumba!
Two way traffic? si mpaka apige au atume msg! kuna makauzu acha tu!
 
Hapo mapenz ni two way.. Mi nahc nakataa watu weng ni wavivu wanapenda kutafutwa cyo kuanza wenzao! Afu mtu akiacha kumtafuta atalalamika kanchunia
 
I tip my hat to you mkuu...lakini mgogoro hauwezi isha kwa style hiyo..🙂🙂🙂
unaweza sababu mkuu mi ni mtu naye jitahidi kutabasamu kila nikiweza kwa hiyo nikikosa raha kama unajali lazima uulize tu kuna nini?
 
16.mwanamke ukigundua mumeo anacheza away matches funga mdomo wako..muwache aendelee tu...ukimnyamazia atajua anafanya jambo la busara..
 
Back
Top Bottom