Nimetia aibu kubwa ukweni

Nimetia aibu kubwa ukweni

Kohoa kidogo ndo utoke...
Halafu Jifunze ukiwa chooni fungulia bomba liwe linatoa maji hamna atakae sikia kinachoendelea, kama hamna bomba basi yale maji kwenye ndoo wakati unarekebisha we endelea kuyachota na kumwaga chooni, gonga kopo kwenye ndoo ili kupoteza ushahidi wa sauti mubasharaaa
 
Watanzania bwana.... Kwa hiyo wanaamini hadi sasa upo chooni.?
 
Mwanaume hutakiwi kuona haya, hata baba mkwe akisikia atasema kumbe mwanawe kaolewa na mtu ambae hajiamini, we ukitoka achia tabasamu pana then wasalimie[emoji4] [emoji4]
 
Na uharo una kihelehele ukiona Choo tu unataka kutoka kabla hujavua ukishusha tu suruali kabla hujamaliza kuvua umeshatoka kwa sauti
 
we ukitoka jisemeshe kwa sauti kubwa kuwa huo ulikuwa mlio wa simu kuna mtu alikuwa anakupigia cm ili ajue kma mmefik salama
 
Mkuu siku ingine uwe unapigapiga maji kwenye ndoo kudairut sauti ya kijambo maana ile praaatatataa hua inatoka kimbea mi hua nachezesha maji
Hahahahahaha...! unafungulia hata bomba
 
Leo nimesafiri na wife kwenda kwao Moshi.nikiwa njiani tumbo la kuhara limenibana sana.wife kanishauli nijikaze mpaka kwao.nilipofika hapa kwao.choo kipo uwani na nje ya choo kuna kibaraza wamekaa wadogo zake wa kike.kwa jinsi nilivyoharisha sauti ilikuwa mubashara nje na nimewasikia wanacheka
Mpaka naandika msg hii nipo bado inside.sasa sijui sura yangu nikitoka
Ukitoka waambie kuwa simu ilikuwa inaita, na hiyo ndo ringtone yake, ila kwa sasa umeiondoa. Waombe samahani huku ukijichekesha.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Leo nimesafiri na wife kwenda kwao Moshi.nikiwa njiani tumbo la kuhara limenibana sana.wife kanishauli nijikaze mpaka kwao.nilipofika hapa kwao.choo kipo uwani na nje ya choo kuna kibaraza wamekaa wadogo zake wa kike.kwa jinsi nilivyoharisha sauti ilikuwa mubashara nje na nimewasikia wanacheka
Mpaka naandika msg hii nipo bado inside.sasa sijui sura yangu nikitoka
Siku nyngne rekodi hyo sauti ya kijambo arafu unaisev kama muito wa simu ukitoka nje una iplay harafu unazuga kama kuna simu imeingia unajifanya kama unapokea ile fake call,ila inabidi usev hyo iwe ringtone yako muda wote mpak unaondoka ukweni.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wala haujakosea walivyokuona unaingia chooni kwa nn wasitoke hapo walipokaa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Leo nimesafiri na wife kwenda kwao Moshi.nikiwa njiani tumbo la kuhara limenibana sana.wife kanishauli nijikaze mpaka kwao.nilipofika hapa kwao.choo kipo uwani na nje ya choo kuna kibaraza wamekaa wadogo zake wa kike.kwa jinsi nilivyoharisha sauti ilikuwa mubashara nje na nimewasikia wanacheka
Mpaka naandika msg hii nipo bado inside.sasa sijui sura yangu nikitoka
Ahahahhaa nmechekaaa mpaka nahic kufaaa ahahahahahaha Kwel Jf raha sana u made ma day bro
 
Kunya kanya kuku bata kaharisha kwani wao hawajawahi harisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom