Recent content by Ramadhan Kimbeiye

  1. Ramadhan Kimbeiye

    JamiiForums Tanzania Ramadhan Special Thread

    ...jina langu la kwanza linajitosheleza!
  2. Ramadhan Kimbeiye

    JamiiForums Tanzania IKULU: Rais Magufuli apokea taarifa ya ripoti ya Pili ya Mchanga. Waliosaini Mikataba Wakaangwa

    Naamini kabisa, JPM hayo aliyaona muda mrefu... mnazungumzia kupinga... ebu niambie, je kuna kiongozi yoyote wa CCM aliyeipinga serikali ya CCM na bado akaendelea kusavaivu akiwa humo humo ndani ya CCM? Utii wake kwa CCM ndiyo uliomfikisha hapo alipo
  3. Ramadhan Kimbeiye

    JamiiForums Tanzania Wanahabari Wakimfuata Nyuma Mwanasheria Mkuu Wa Zamani Andrew Chenge Kutaka Kumhoji

    Joka la Makengeza Msaka Pesa!
  4. Ramadhan Kimbeiye

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais Magufuli unda tume haraka kuchunguza mikataba ya gesi

    Hahahahah pole sana kwa kuchefukwa lakini tambua kwamba mleta mada ni 'bwashee'.
  5. Ramadhan Kimbeiye

    JamiiForums Tanzania Ajira za kujuana na hatma ya Tanzania

    Uko sawa kabisa mkuu, wanausalama wa kizazi hiki wengi ni mabishoo, huo ndiyo ukweli.
  6. Ramadhan Kimbeiye

    JamiiForums Tanzania Pwani: Kiongozi mwingine wa CCM auawa kinyama Ikwiriri

    Nipo hapa, haya mbwiga ulitaka kulongaze?
  7. Ramadhan Kimbeiye

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri, Mashindano makubwa ya usomaji wa kitabu kitakatifu Qur'an leo 11.06.2017 uwanja wa taifa

    Mi nasema waendelee kumnyoosha tu maana kapinda sana huyo!
  8. Ramadhan Kimbeiye

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa bodaboda Shinyanga ajinyonga.

    Dah huyo jamaa ametutukanisha waendesha bodaboda!
  9. Ramadhan Kimbeiye

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Wabunge wetu: "Double Taxation" katika Road License, na Wabunge wanashangilia?

    Mi nimekuelewa vzr sana mtoa mada, kwanini ulipie kodi mara mbili kwa wakati mmoja? kama wameamua kuileta kwenye mafuta hiyo kodi sasa kuna na haja gani tena ya kuiweka kwenye usajili? basi waipe jina lingine ili tujue hiyo si kodi ya road licence.
  10. Ramadhan Kimbeiye

    JamiiForums Tanzania Kuna haja wa viongozi wa kisiasa kumuangalia huyu!!!

    nawe pia umempa kiki kwa kuzileta habari zake humu jf, maana mi nilikuwa simjui huyo mtu sasa utanifanya nianze kumfuatilia ili nimjue. cc Mwana nyau
  11. Ramadhan Kimbeiye

    JamiiForums Tanzania Lowassa Kumwanika Profesa Lipumba

    Hahahahahh!
  12. Ramadhan Kimbeiye

    JamiiForums Tanzania Lowassa Kumwanika Profesa Lipumba

    Kuna nyumbu humu jf huwaambii kitu kuhusu huyo jamaa, wenyewe wanamuita "rais wa mioyo yao" hawa jamaa si wazima kabisa
  13. Ramadhan Kimbeiye

    JamiiForums Tanzania Lowassa Kumwanika Profesa Lipumba

    Lowasa hatoweza tapika nyongo kwa sababu si mzungumzaji mzuri hivyo havutii kumsikiliza labda kazi hiyo ampe vuvuzela Tundu Lisu.
  14. Ramadhan Kimbeiye

    JamiiForums Tanzania Mgogoro CUF kichekesho, nacheka wanavyochekesha

    CUF imejichimbia kaburi yenyewe kwa kukubali kumezwa na CDM!
Back
Top Bottom