Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,005
- Thread starter
- #21
jenga hoja.n
ndiko uliko julia familia yako au
jenga hoja.n
ndiko uliko julia familia yako au
Nadhani Lipumba naye hatakosa majibu ya kumpa Lowasa.
ngoja tusubiri.Mungu aoishe mbali.Kama atakuwa hajapigwa na stroke!
Hatuendelei kwa sababu ya kujikita kwenye mijadala isiyo na tija. Sasa hapa tunajadili nini na for what benefit. CUF waachwe wamalizane na profesa wao uch....a sisi tujadili namna ya kusaidia uchumi wetu binafsi na wa nchi yetu kusonga mbele.Lowassa Kumwanika Profesa Lipumba
![]()
![]()
Aliyekuwa mgombea urais wa Chadema akiungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, anajiandaa kuweka wazi ushiriki wa aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahimu Lipumba katika mchakato wake wa kuhamia Chadema mpaka kuwa mgombea urais.
Akizungumza kwa simu na mwandishi wa habari hii akiwa Nairobi nchini Kenya jana, Lowassa ambaye pia alikuwa Waziri Mkuu, wakati wa Serikali ya Awamu ya Nne ya Rais Jakaya Kikwete, alisema akirudi kutoka safari hiyo, atafafanua mbele ya vyombo vya habari, tuhuma dhidi yake zilizotolewa na Profesa Lipumba.
“Kwa sasa naomba uniache kwanza maana nipo safarini Nairobi, nikija Dar es Salaam nitazungumzia suala hilo kwa undani kupitia vyombo vya habari, hivyo subirini nirudi,” alisema Lowassa.
Madai ya Lipumba
Hivi karibuni Profesa Lipumba alitupa lawama moja kwa moja kwa Lowassa, kwamba ujio wake ndani ya Ukawa, unaoundwa na Chadema, CUF, NCCR-Mageuzi na NLD, ndiyo ulisababisha matatizo katika vyama hivyo kwa kiasi kikubwa.
Kwa mujibu wa Profesa Lipumba, kabla ya kujiunga kwa Lowassa Ukawa, vyama hivyo walikaa kikao ambacho aliwashauri viongozi wenzake wa Ukawa kutazama mtu anayeweza kuendana na mahitaji yao awe ndani au nje ya umoja huo.
Alisema ni kweli aliona wangeweza kupata ushindi kupitia Lowassa, lakini hata ushindi huo ungepatikana, wangeenda kusimamia mambo gani? Maana suala ni kusimamia katika eneo fulani.
Alifafanua kuwa suala lililopo katika siasa ni baada ya kuchaguliwa, uunde serikali ili usimamie misingi fulani ambayo itakidhi mahitaji ya wananchi.
“Sisi tulisema tunahitaji serikali inayowajibika, itakayopambana na rushwa, itakayotumia rasilimali za nchi vizuri, na itakayohakikisha mali ya asili ya Tanzania inawasaidia Watanzania wote,” alisema na kuongeza kuwa hayo Lowassa asingeweza.
Baada ya kikao hicho cha kumjadili Lowassa, Profesa Lipumba alisema walifanya kingine wakiwa na Mbowe (Freeman, Mwenyekiti wa Chadema); Mbatia (James, Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi) na Lowassa kujadili suala hilo kwa mara ya pili kuwa ni vyema CUF, wakaribishwe kwanza ambapo walikuwa hatua za mwisho.
Alisema baada ya mchakato huo kwisha, Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, alianza vikao vingine visivyomshirikisha yeye Lipumba, kwa kumwalika Mbowe ili wafanye mazungumzo.
Lipumba alidai kuwa Mbowe alipoitwa na Maalim Seif kwenda Zanzibar, alimfuata na kumweleza kuwa ameitwa na Makamu wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar.
“Mbowe alinipigia simu akaniambia kuwa ameitwa kwenye kikao na kwamba ndio kulikuwa na hoja ya Lowassa kuingia Ukawa, wakati Chadema walikuwa na msimamo kuwa kwenye Ukawa asikaribishwe mtu wa nje,”alifafanua.
Alisema Mbowe aliendelea kumweleza kuwa, baada ya kikao kile ndipo Chadema waligundua kuwa kuna sintofahamu ndani ya CUF, jambo lililowafanya wao Chadema watoe hoja ya kuwa na mgombea wao, kwakuwa watakuwa na wabunge wengi basi hata Waziri Mkuu atatoka huko na CUF itatoa mgombea mwenza.
Lipumba alisema baada ya hali hiyo kutokea; ya Maalim Seif kufanya vikao vingine bila kumshirikisha, alikuwa katika wakati mgumu maana hata mazungumzo yale hakushirikishwa, ilihali yeye ndio Mwenyekiti wa CUF na yalikuwa yanafanywa na Katibu kimnya kimnya.
Mambo si shwari...
Lowassa amwanike MTU? Maajabu ya dunia hayo! Kwa usafi gani alionao! Haya tusubiri tuone!!Nadhani Lipumba naye hatakosa majibu ya kumpa Lowasa.
Siku akiyasema utakuja kumsifia kuwa amefanya vema.
Lowassa Kumwanika Profesa Lipumba

Hahahahahh!wenyewe wanasema .......''mahaba''.....''deka''
Basi mtu anayemsapoti lowasa ni halali yetu tukampigia yowe za mwizi na kupondwa na jiwe, marungu na mapanga mpaka afe!Kuna nyumbu humu jf huwaambii kitu kuhusu huyo jamaa, wenyewe wanamuita "rais wa mioyo yao" hawa jamaa si wazima kabisa
Wewe ni bwege unayefanana na jina lako! Hata baba yako anamjua Lupumba. Benki ya dunia inamjua pia. Dunia nzima inamjua! Wewe umezaliwa lini usimjue Lipumba?? Acha ujinga wa kufakamia viroba !!Lipumba ndio nani
Nawashangaa wanaochoma moto vibaka mtaani huku wakimwacha mtu FISADI lowasa akikamua mtaani said by................Lipumba mambo yake yanaharibika vibaya sana sanaaaaaaaa...!! kama yuko Jehanam sasa hv... kila kitu anachofanya sasa hv kinafeli..!!
Duuuh..!!
Katika taasisi yenye muundo wa kuwa na Mwenyekiti na Katibu maamuzi hufanywa na chombo chenye mamlaka hayo kama Kamati Kuu au Kamati Tendaji. Majukumu ya Mwenyekiti ni kuongoza vikao ambavyo hutoa maamuzi. Majukumu ya Katibu ni kuitisha vikao kwa idhini ya Mwenyekiti. Pia hufanya kazi za utendaji pamoja na utekellezaji wa maazimio na maagizo ya chombo husika. Je katika suala hili misingi ya uongozi bora wenye kuzingatia uwazi na uwajibikaji ilifuatwa?Lowassa Kumwanika Profesa Lipumba