Shinyanga ni wasukuma mkuuWakurya bhana.......
Marehemu hajaacha ujumbe wowote.Kama ana personal issues utajuaje!Njoo na facts ili kuweka sawa hoja yako
Marehemu hajaacha ujumbe wowote.Kama ana personal issues utajuaje!
May be kaenda kupima maradhi hospital naona hakuna tiba kuamua kujimaliza Pamoja ushauri aliopewa!!
May be anadaiwa deni kubwa mahali!!
Na mengine mengi tu,hizo zote ni speculations tu ukweli wenyewe anayejua ni marehemu mwenyewe mpaka Sasa labda Polisi wake na taarifa ya uchunguzi wao!!
Hizo zote ni story tu za kijiweni
Story tu za kwenye kahawa hizoKifo chake kimesababishwa na madereva wenzake
Toa stori zisizo za kijiweni,mbona kitu simple sanaHizo zote ni story tu za kijiweni
Ikija taarifa tofauti na hiyo utasemajeToa stori zisizo za kijiweni,mbona kitu simple sana
Kabla ya kujinyonga ndiyo alisema nenda kujinyonga kwasababu ya bodaboda??Toa stori zisizo za kijiweni,mbona kitu simple sana
Heshima ikurejee comrade...[emoji123]Ni mpumbavu pekee ndo ataamini kama jamaa anaweza kujinyonga kwa waya wa simu
Tukio hili limetokea siku tano tu baada ya kutokea vurugu kati ya waendesha bodaboda na polisi baada ya mwendesha bodaboda mwenzao kufariki baada ya kukamatwa na askari wa usalama barabarani.