barqis
Member
- Jun 3, 2017
- 28
- 22
nimependa jina unalotumiaNadhani zimepakwa lipstick kwenye front bampa na wanja kwenye taa za mbele
Lichukue kama vipi naona ushaanza mambo ya mombasanimependa jina unalotumia
Ushauri wangu omba upunguziwe bei ili uchukue zote mbiliWanajamvi ninakapesa kangu ka madafu M 11 nahitaji ushauri kati ya gari hizo mbili ipi nzuri kwani itakuwa na safari mara mbili kwa mwaka kwenda mwanza je ipi kati ya hizo itanifaa?Ulaji wa mafuta, na uimara ipi nzuri?
Lichukue kama vipi naona ushaanza mambo ya mombasa
Chukua 5*4Wanajamvi ninakapesa kangu ka madafu M 11 nahitaji ushauri kati ya gari hizo mbili ipi nzuri kwani itakuwa na safari mara mbili kwa mwaka kwenda mwanza je ipi kati ya hizo itanifaa?Ulaji wa mafuta, na uimara ipi nzuri?
hahaha kama hujui acha kupotosha watu... kabla road license haijafutwa raum inakula 170000 annually maana ina cc chini ya 1500. sasa hiyo elfu 80 veeeepeHapo chukua wish cc1780 au raum achana na ipsum itakupasua kichwa mafuta.
Kwa ipsum Utajajikuta umelipia road licence laki 5 kwa badala ya raum elfu 80 kwa mwaka
Wewe icho kigari cha mizigo kibayaa
Yani kibaya labda tax akifai kutembelea
Wanajamvi ninakapesa kangu ka madafu M 11 nahitaji ushauri kati ya gari hizo mbili ipi nzuri kwani itakuwa na safari mara mbili kwa mwaka kwenda mwanza je ipi kati ya hizo itanifaa?Ulaji wa mafuta, na uimara ipi nzuri?
unamaanisha probox?kama utakua na safari nunu Toyota succeed hii nigari nzuri sana sipea bei poa mafuta kidogo panga safari unavyo jua
14/L safari ndefu inatembea bila shida.Nina mashaka kama unaweza kupata IPSUM kwa bei hiyo. Chukua RAUM hutapata stress, ni gari ndogo yenye space ya kutosha kwa abiria na mizigo, inakula mafuta kidogo (cc 1450-1500) 13km/Lita. Kwa safari ndefu huna wasiwasi inaenda bila tatizo lolote
utalia na mafuta cc3000?Brevis nitapata kwa bei hiyo?
Hata mimi naitumia, nimetoka mwanza jioni saa hizi niko Shirati zamani sana.Chukua raum,mi naipenda wese kidogo na haizingui ndi naitumia