Recent content by rama halavi

  1. rama halavi

    JamiiForums Tanzania Naomba app nzuri ya kupakua movies tafadhali jina lake

    Chukua hizi 1337x au watchsomuch ukitaka wakorea na series zao kuna kissasian na dramacool, zipo kibao ila hizo kwa uchache unapata movies na series karibia zote
  2. rama halavi

    JamiiForums Tanzania Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

    Habari Kiongozi Nahitaji Msaada wa kinyota hapa Jina langu linaanzia na R na nimezaliwa 20/06, Kuna wanawake wawili katika maisha yangu na wote majina yao yanaanzia na R, mmoja kazaliwa 01/01 na mwingine kazaliwa 11/10
  3. rama halavi

    JamiiForums Tanzania Library au huduma za kipesa kama Tigo Pesa

    Kama una eneo la kutosha na mazingira ni rafiki kwa biashara ya library nakushauri fungua tu hiyo library ila ongezea na Kompyuta yako moja kwa ajili ya nyimbo na kuwakopia hizo muvi kwenye flash, Kwa Bajeti ya laki 5 unapata desktop nzuri tu yenye hard disk kubwa za kuhifadhia nyimbo, video...
  4. rama halavi

    JamiiForums Tanzania Mafundi simu na wauza spare, vifaa vya simu: pata tach na lcd bei nafuu zaidi kwa Tanzania, vifaa vya simu

    Kiongozi hivi mtaji mdogo kabisa kwa mtu anayetaka kuanza hiyo biashara ni Shiling ngapi? maana nina kafremu kangu ka tigo pesa nawaza niongeze biashara hiyo
  5. rama halavi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji vifaa Used vya Saloon ya Kiume

    Viti unauzaje?
  6. rama halavi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipo katika majaribu ya kuua mtu jamani

    Ndugu hakuna mtoto wa kike wala wa kiume aliyekamilika acha kuudanganya moyo wako, Uzuri wa mtu uko kwa anayetizama. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. rama halavi

    JamiiForums Tanzania natafuta pc kwa 400k

    laptop au Desktop? Vigezo vyako vingine ukiacha hiyo ya core 15 Sent using Jamii Forums mobile app
  8. rama halavi

    JamiiForums Tanzania MAKALA: Mambo muhimu ya kuzingatia kuhusu kodi kwa mtu anayeanza biashara

    Shukran Kiongozi kwa maelezo yaliyojitosheleza Sent using Jamii Forums mobile app
  9. rama halavi

    JamiiForums Tanzania MAKALA: Mambo muhimu ya kuzingatia kuhusu kodi kwa mtu anayeanza biashara

    Kwanza naomba nikupongeze kwa somo zuri unalolitoa kuhusu Kodi na taratibu zake Kiongozi mimi nina swali japo ntaanza kwa maelezo kidogo Mwezi wa tisa mwaka 2015 nilifanya mchakato wa kuomba TIN kwa ajili ya biashara yangu ya Library na kuitumia TIN hiyo kupata Leseni ya biashara na kupata...
  10. rama halavi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa dalilili hizi je, anaashiria nini?

    Elimu ya chuo halafu bado hujui kuchanganua na kudadavua mambo madogo kama hayo, Jiongeze hapo huna nafasi katika maisha yake. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. rama halavi

    JamiiForums Tanzania Tunaomiliki salon za kiume Tukutane hapa tuambizane namna ya kuziinua zaidi

    Pole yake Bahati nzuri kwangu ni kwamba nimechukua frem pembeni ya Ofisi yangu Kulikuwa na saluni ila jamaa imewashinda baada ya kushindwa kukarabati na kuiweka katika ubora wa kisasa, eneo langu biashara ipo Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
  12. rama halavi

    JamiiForums Tanzania Tunaomiliki salon za kiume Tukutane hapa tuambizane namna ya kuziinua zaidi

    Hapana ila nina mpango wa kuajiri vijana Sent using Jamii Forums mobile app
  13. rama halavi

    JamiiForums Tanzania Tunaomiliki salon za kiume Tukutane hapa tuambizane namna ya kuziinua zaidi

    Nasubiri madini kutoka kwa wenye uzoefu na hii biashara maana mie binafsi niko njiani kufungua hii biashara na tayari nimeshalipia fremu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. rama halavi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Vitabu vya Vicoba

    Sawa ntakuchek kesho tuongee vizuri kiongozi Sent using Jamii Forums mobile app
  15. rama halavi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Vitabu vya Vicoba

    Exactly, Hivo ndio nahitaji kutengenezewa na pia nahitaji leja na Kitabu cha kumbukumbu za mwanachama Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom