Nahitaji Viti vya kunyolea,sterilizer.
alie navyo anipigie:0627288599 situmii sana JF
note; Viwe DAR na mali halali ya mmliki HUSIKA,aHSANTEN
Nahitaji Viti vya kunyolea,sterilizer.
alie navyo anipigie:0627288599 situmii sana JF
note; Viwe DAR na mali halali ya mmliki HUSIKA,aHSANTEN
Weka picha kama bado vipoNikajua unahitaji vyote
Maana nina vioo,mashine,viti vya kunyolea,benchi la kukalia wateja nk
But weka ofa yako kwanza
Nikajua unahitaji vyote
Maana nina vioo,mashine,viti vya kunyolea,benchi la kukalia wateja nk
But weka ofa yako kwanza
Mkuu hivi vitu bado vipo tuongee biashara[/QUO
Vya mwanzo niliuza ila nina vingine
Vioo viwili na stand yake,mashine mbili,kiti kimoja na benchi la wateja
Weka maelezo kidogo upige hela unavyo vifaa gani vipo wapi, vinahali gani na wauzaje!Kama kuna mtu anahitaji vifaa ninavyo set nzima saluni ya kiume
Weka maelezo kidogo upige hela unavyo vifaa gani vipo wapi, vinahali gani na wauzaje!
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei gani vyote?Sawa ndg, vifaa ni viti vinne vya kunyolea (executive chairs), sterilizer, towel warmers, machine origional wahl 8, bench 2, kiti cha kuoshea 1, aluminium frame, steamer, samsung AC original na vingine nimesahau, nilitumia mwaka 1 tu nikafunga nikaviweka ndan bado vipo safi maana nilinunua nje mwenyewe direct,
Ac unauzaje?Sawa ndg, vifaa ni viti vinne vya kunyolea (executive chairs), sterilizer, towel warmers, machine origional wahl 8, bench 2, kiti cha kuoshea 1, aluminium frame, steamer, samsung AC original na vingine nimesahau, nilitumia mwaka 1 tu nikafunga nikaviweka ndan bado vipo safi maana nilinunua nje mwenyewe direct,
mkuu hebu nitumie picha ya hivyo vifaa kwenye watsap, nakupm watsap.vifaa vipo Kwa saluni simple laki tatu tu vyote viti vioo viwili n.k nione 0762612213
Sent using Jamii Forums mobile app
vifaa vipo Kwa saluni simple laki tatu tu vyote viti vioo viwili n.k nione 0762612213
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro nahitaji mm apaKama kuna mtu anahitaji vifaa ninavyo set nzima saluni ya kiume
Kama kuna mtu anahitaji vifaa ninavyo set nzima saluni ya kiume