Nahitaji Vitabu vya Vicoba

Nahitaji Vitabu vya Vicoba

Una format?? Nenda kko mtaa wa uhuru kwa nyuma kuna printers kibao
 
kiongozi sijaelewa kidogo kwenye hiyo Format, Tuna kikundi so nahitaji tutengenezewe vitabu vyetu tuondokane na kutumia madaftari au karatasi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye format namaanisha mna muundo ambao mnataka kitabu chenu kiwe nao?? Hiyo ndo format. Kama hauna nenda kule kule ukachague muundo unaotaka ambao utaendana na kikundi chenu
 
Kwenye format namaanisha mna muundo ambao mnataka kitabu chenu kiwe nao?? Hiyo ndo format. Kama hauna nenda kule kule ukachague muundo unaotaka ambao utaendana na kikundi chenu
Sawa hapo nimekusoma, Je hapo kariakoo mtaa wa uhuru unaponielekeza ni ofisi maalum au? na je naweza pata address yao vizuri au contact?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpigie huyo jamaa
1546447461457.jpeg
 
Ndio Kazi Zangu Hizo, Tuwasiliane Tufanye Kazi Sio Vitabu Tu Natoa Ushauri Na Kuuza Masanduku Ya Vicoba Full Mkuu.
 
photo.jpg

Sample Kama Ivyo Hapo Na Ukitaka Niku designie na jina la kikundi haina shida, TUWASILIANE MKUU
 
Hizo documents tunaweza kuzitengeneza kwa Mfumo huo huo wa Vicoba au hata wa mfumo rahisi wa HISA yaani VSL Ni Wewe Tu Upendavyo Mkuu
 
Back
Top Bottom