Mafundi simu na wauza spare, vifaa vya simu: pata tach na lcd bei nafuu zaidi kwa Tanzania, vifaa vya simu

Unatoa bei ya Ufundi
Unatoa bei ya kubandua

so unabaki na bei ya Protector @7000 na Touch 10000 Jumla inakua 17,000 ndio gharama yako...
Bei zetu za tach na LCD hizo
IMG-20190518-WA0023.jpeg
 
Kiongozi hivi mtaji mdogo kabisa kwa mtu anayetaka kuanza hiyo biashara ni Shiling ngapi? maana nina kafremu kangu ka tigo pesa nawaza niongeze biashara hiyo
Bei nimeweka kwa jedwali hapo chini
Wasiliana nasi 0625868296

Pia tunauza jumla
1. glass za kawaida jumla 700
2. Glass za 3D 3000
3. Makava ya autofocas 1500
4. Chaja 3000
5. Earphone 2500
6. Makava ya urembo 3000
7. Usb 1500 n.k
Tupo Tanga
Tunaweza kutumia popote Tanzania View attachment 1100131
 
Back
Top Bottom