Recent content by Rais wa Wasukuma

  1. Rais wa Wasukuma

    JamiiForums Tanzania Hisia na hamasa za Maandamano nchini: Mapokeo, Mitazamo na Uhalisia (Viongozi na Wananchi)

    Sasa sisi tutajuaje sasa kama ataachana nayo. Muulize mhusika atakupa jibu
  2. Rais wa Wasukuma

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Ushapata?
  3. Rais wa Wasukuma

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ashangaa Majaji kwenda likizo Ulaya kwa gharama zao, amtaka Jaji Mkuu kuchunguza

    Asiturudishe enzi za nyerere mtu kununua radio tu mpaka unaundiwa tume. Msukuma mwenzetu ushamba wake umepitiliza...
  4. Rais wa Wasukuma

    JamiiForums Tanzania Dalili nyingi mwilini na vipimo sijapata

    Kipimo cha kisukari sizani kama kinafika hata elfu kumi. Akapime
  5. Rais wa Wasukuma

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    "Njoo kasulu aje Shinyanga" ni wife wangu kapangiwa kasulu nahitaj mtu wa kubarishana nae ili arud Shy. Idara S/m Mawasiliano 0788375124 au aje pm
  6. Rais wa Wasukuma

    JamiiForums Tanzania Biashara gani halali inaweza tengeneza faida ya kuanzia laki tatu kwa Siku?

    Ww utakuwa mhaya ww maana si kwa mijisifa hiyo
  7. Rais wa Wasukuma

    JamiiForums Tanzania Mwenendo huu wa biashara hata siuelewi!

    Aisee. #NgwiniMkazaVyuma!
  8. Rais wa Wasukuma

    JamiiForums Tanzania Mwananchi Communications waongea na waandishi juu ya mwandishi wao kupotea, wapanga kuandamana hadi kwa IGP

    JF ina wasomaji wengi kuliko unavofikiri
  9. Rais wa Wasukuma

    JamiiForums Tanzania Mwananchi Communications waongea na waandishi juu ya mwandishi wao kupotea, wapanga kuandamana hadi kwa IGP

    Inaumiza sana mtu mzima kupotea hivhiv. Anyway kwa yeyote atakaemuona atoe taarifa kituo cha polisi. Tunamhitaji Azory aungane na familia yake na asaidie kujenga Taifa letu. #BringBackAzoryGwanda
  10. Rais wa Wasukuma

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anajisikiaje anapoona Wabunge wa Upinzani wakiteseka?

    Ndo furaha yake
  11. Rais wa Wasukuma

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Je kuna tiba mbadala ya Sickle Cell?
  12. Rais wa Wasukuma

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kwa walimu wa shule za msingi na sekondari

    Afu nadhani waliohitimu 2014 walishapangiwa vituo
Back
Top Bottom