Rais Magufuli anajisikiaje anapoona Wabunge wa Upinzani wakiteseka?

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,073
2,000
Nimekaa nimefikiri, nimewaza na kutafakari sana...!!!
Kwamba Rais wetu mpendwa John Joseph Pombe Magufuli huwa anajisikiaje anapoona na kusikia ViongozI na hasa Wabunge wa upinzani wanaoteseka kwenye jela, mahabusu na mahospitalini..!!L

Mpaka sasa kuna Wabunge 2 wako mahabusu, 1 mmoja yuko Hosptali Nairobi akiendelea na matibabu mwezi wa 3 sasa...!!!Mbunge wa A Town Mhe.Lema alisota mahabusu miezi 4 na ushei....Lijualikali akapigwa mvua ya miezi 6..jela. Halima Mdee na Esther Bulaya wamefungiwa kushiriki Bunge mwaka mzima...!!!Lakini Rais mpendwa wa Wanyonge amekaa kimya kana kwamba hakuna kilichotokea....!!!

Makamu wake mama Samia Suluhu angalao juzi kaonyesha moyo wa kumtembelea Lissu huko Nairobi na wiki hii tumesikia Rais mstahafu Ali Alhaj Hassani Mwinyi kafika Nairobi kumwona Lissu bila kujali u-CCM wala u-CHADEMA...!!!

Je, Rais mpendwa wa Watanzania, Rais wa Wanyonge yeye anafikiri nini kuhusu mambo haya???Kuna siku mtu aliyemwachia kiti, Mzee wa msoga Jakaya Mrisho wa Kikwete alisema bila kumung'unya maneno kwamba, ''WAPINZANI SIYO MAADUI''.

Je, Rais wetu mpendwa anajisikije wazee waliomtangulia wanapojaribu kumuasa kijana wao waliyemwachia ofisi lakini wala hatikisiki sanasana anawabeza...kwamba WANAWASHWA...!!

Je, tatizo ni nini kwa Rais wetu mpendwa? Yawezekana ni FRUSTRATIONS alizonazo kama alivyotamka mwenyewe hadharani...?

Haya ni maswali yaliyo ndani ya mioyo ya Watanzania wengi bila kujali itikadi za vyama vyao kwa maana ya pande zote 2 za CCM na Upinzani....!!
 
Msengapavi

JF-Expert Member
Oct 23, 2008
8,427
2,000
Wala usiumize kichwa chako kwa maswali rahisi hivo! Hafikiri, hahisi na wala hasikii lolote zaidi ya burudani. Vile ambavyo huwa anaonekana kufoka foka tena kwa hasira sana, ile ndo furaha kwake. Hana hili wala like, anafanya yote kwa nia njema kwa ajili ya wanyonge huku wote tukiugulia maumivu!
 
Tairi bovu

JF-Expert Member
Sep 28, 2017
3,067
2,000
Jamaa ana roho mbaya iliyojaa chuki na uoga . Kwake yeye wapinzani ndio wanaonyima watoto mikopo ya elimu ya juu na uozo wote wa chama chake. Ni kiongozi mwenye maono ya kale asiye amini kwenye umoja wa kitaifa. Anadhani hata kwa muumba wake ataenda na mapolisi
 
Jay master

JF-Expert Member
Dec 2, 2017
587
1,000
Nimekaa nimefikiri, nimewaza na kutafakari sana...!!!
Kwamba Rais wetu mpendwa John Joseph Pombe Magufuli huwa anajisikiaje anapoona na kusikia ViongozI na hasa Wabunge wa upinzani wanaoteseka kwenye jela, mahabusu na mahospitalini..!!L

Mpaka sasa kuna Wabunge 2 wako mahabusu, 1 mmoja yuko Hosptali Nairobi akiendelea na matibabu mwezi wa 3 sasa...!!!Mbunge wa A Town Mhe.Lema alisota mahabusu miezi 4 na ushei....Lijualikali akapigwa mvua ya miezi 6..jela. Halima Mdee na Esther Bulaya wamefungiwa kushiriki Bunge mwaka mzima...!!!Lakini Rais mpendwa wa Wanyonge amekaa kimya kana kwamba hakuna kilichotokea....!!!

Makamu wake mama Samia Suluhu angalao juzi kaonyesha moyo wa kumtembelea Lissu huko Nairobi na wiki hii tumesikia Rais mstahafu Ali Alhaj Hassani Mwinyi kafika Nairobi kumwona Lissu bila kujali u-CCM wala u-CHADEMA...!!!

Je, Rais mpendwa wa Watanzania, Rais wa Wanyonge yeye anafikiri nini kuhusu mambo haya???Kuna siku mtu aliyemwachia kiti, Mzee wa msoga Jakaya Mrisho wa Kikwete alisema bila kumung'unya maneno kwamba, ''WAPINZANI SIYO MAADUI''.

Je, Rais wetu mpendwa anajisikije wazee waliomtangulia wanapojaribu kumuasa kijana wao waliyemwachia ofisi lakini wala hatikisiki sanasana anawabeza...kwamba WANAWASHWA...!!

Je, tatizo ni nini kwa Rais wetu mpendwa? Yawezekana ni FRUSTRATIONS alizonazo kama alivyotamka mwenyewe hadharani...?

Haya ni maswali yaliyo ndani ya mioyo ya Watanzania wengi bila kujali itikadi za vyama vyao kwa maana ya pande zote 2 za CCM na Upinzani....!!

Mwenzio ndio furaha yake,,tena anaewafanyia ivyo huwa anampandisha na cheo kabisa
 
treborx

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
4,634
2,000
Raid anawapenda watanzania wote, hasa wale wanaonyanyasika kwa kuwekwa rumande bila kupewa dhamana.
 
mangatara

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
14,542
2,000
Zamani nilisoma kitabu cha kiingereza; Kama sijakosea kilikuwa cha Charles Dickens. Kilihusu watoto waliokuwa katika hali ya kuonewa sana wakilishwa mlo kiduchu. Siku moja, mtoto mmoja akadiriki kuomba nyongeza ya chakula. Namnukuu; Please Sir, we need some more (food).
Kipigo alichopata kikawafanya wale wengine wakinai hata kula.
Ndivyo tunataka wapinzani muishi. Hadi mtambue kuwa kelele huharibu maendeleo kwani mnapinga kila kitu. Poleni sana, Waambie watoroke waje huku
 
mop

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
867
1,000
Nimekaa nimefikiri, nimewaza na kutafakari sana...!!!
Kwamba Rais wetu mpendwa John Joseph Pombe Magufuli huwa anajisikiaje anapoona na kusikia ViongozI na hasa Wabunge wa upinzani wanaoteseka kwenye jela, mahabusu na mahospitalini..!!L

Mpaka sasa kuna Wabunge 2 wako mahabusu, 1 mmoja yuko Hosptali Nairobi akiendelea na matibabu mwezi wa 3 sasa...!!!Mbunge wa A Town Mhe.Lema alisota mahabusu miezi 4 na ushei....Lijualikali akapigwa mvua ya miezi 6..jela. Halima Mdee na Esther Bulaya wamefungiwa kushiriki Bunge mwaka mzima...!!!Lakini Rais mpendwa wa Wanyonge amekaa kimya kana kwamba hakuna kilichotokea....!!!

Makamu wake mama Samia Suluhu angalao juzi kaonyesha moyo wa kumtembelea Lissu huko Nairobi na wiki hii tumesikia Rais mstahafu Ali Alhaj Hassani Mwinyi kafika Nairobi kumwona Lissu bila kujali u-CCM wala u-CHADEMA...!!!

Je, Rais mpendwa wa Watanzania, Rais wa Wanyonge yeye anafikiri nini kuhusu mambo haya???Kuna siku mtu aliyemwachia kiti, Mzee wa msoga Jakaya Mrisho wa Kikwete alisema bila kumung'unya maneno kwamba, ''WAPINZANI SIYO MAADUI''.

Je, Rais wetu mpendwa anajisikije wazee waliomtangulia wanapojaribu kumuasa kijana wao waliyemwachia ofisi lakini wala hatikisiki sanasana anawabeza...kwamba WANAWASHWA...!!

Je, tatizo ni nini kwa Rais wetu mpendwa? Yawezekana ni FRUSTRATIONS alizonazo kama alivyotamka mwenyewe hadharani...?

Haya ni maswali yaliyo ndani ya mioyo ya Watanzania wengi bila kujali itikadi za vyama vyao kwa maana ya pande zote 2 za CCM na Upinzani....!!
Hao waliopo mahabusu ni wahalifu kama wahalifu wengine na Katiba yetu haijabagua ni nani anapaswa kushitakiwa na ni yupi hapaswi kushitakiwa isipokuwa Rais peke yake. kama Mbunge anaunguza nyumba hiyo ni jinai kama jinai zingine,unataka Rais atetee wahalifu? Mbunge anafanya fujo Bungeni anachukuliwa adhabu kulingana na Kanuni za Bunge sasa unataka Rais aingilie Mhimili wa Bunge kwa kuwarudisha wahalifu Bungeni kabla ya kumaliza adhabu zao? Mbunge kupigwa risasi kwani alipigwa na Rais au alipigwa na wahalifu sawa na wale waliokuwa wanaua watu kule Rufiji? Tatizo la Wabunge wengi wa Upinzani ni wavuta BANGI na bangi haiwezi kumuacha mtu salama bali anajikuta anafanya maamuzi yasiyo sahihi na kushindwa kuishi kwa ethics za uongozi..!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom