Recent content by raia tz

  1. raia tz

    JamiiForums Tanzania Waasi M23 na Benard Membe wampigana mikwara mizito kupitia twitter

    hebu checki hii mkuu https://twitter.com/m23congordc
  2. raia tz

    JamiiForums Tanzania Kodi ya kuagiza simu kutoka nje ya nchi

    Wakuu habari, naomba kuuliza nikiagiza simu kutoka nje ya nchi na kusafirishiwa kwa njia ya DHL hadi hapa tanzania, je itabidi nilipe kodi ya TRA? kama ndio ni vigezo gani vinatumika kucalculate hiyo kodi? nasikia DHL wanafanya door delivery so mimi silipii kodi, je jiyo ni sawa? MY EXPERIENCE...
  3. raia tz

  4. raia tz

    JamiiForums Tanzania Nina 180000, natafuta used Dell Desktop.

    mkuu hiyo machine ipo nicheck kwa 0654 000 253
  5. raia tz

    JamiiForums Tanzania Natafuta mkopo wa tshs 1,200,000. Bank gani ninaweza kukopa

    Nakushukuru mkuu, Am moving, let me google brela to see terms and conditions, early next week itakuwa my assignment ku visit ofisi zao. thanks
  6. raia tz

    JamiiForums Tanzania Natafuta mkopo wa tshs 1,200,000. Bank gani ninaweza kukopa

    Nakushukuru mkuu kwa comment zako, Nimejiunga na WAT SACCOSS ndani ya wiki Hii, I think inabidi nika fuatilie taratibu zao za huo mkopo. Once again thanks for credit
  7. raia tz

    JamiiForums Tanzania Natafuta mkopo wa tshs 1,200,000. Bank gani ninaweza kukopa

    Nakushukuru mkuu mdizi, Nianzie wapi kusajili kampuni yangu, bahati nzuri Tin number ninayo. Je watahitaji nini pale brela? Ntafungua account access bank I wish to be formal. jina la kampuni nimeshaliplan. Please wish to hear from you
  8. raia tz

    JamiiForums Tanzania Natafuta mkopo wa tshs 1,200,000. Bank gani ninaweza kukopa

    Wakuu habari zenu, mimi ni mwanafunzi wa chuo. Kwa sasa nipo hapa Dar-es-salaam. Nina Biashara ya bodaboda na nimeifanya kwa muda wa miezi mitatu sasa. Nahitaji kuongeza ya pili, binafsi nina shilingi 500,000 na nikipata mkopo huo nina weza kukamilisha mpango wangu.dondoo ni kama zifuatazo (1)...
  9. raia tz

    JamiiForums Tanzania Biashara ya boda boda

    Wakuu habari, nimemnunua bodaboda, katika kutafuta nadereva nimekutana na hii biashara ambayo inaitwa ya mkataba, ntaileleza:- unampa dereva bodaboda, mnakubaliana akurudishie kiasi fulani baaada ya muda fulani inakuwa bodaboda yake. naomba nisaidiwe yafuatayo:- Nipate elimu zaidi juu ya hii...
  10. raia tz

    JamiiForums Tanzania Swali: Mita ya LUKU ni mali ya mpangaji au mwenye nyumba?

    Wakuu naomba elimu juu ya swali langu hili 1: Je mpangaji anaweza akalipia na kununua LUKU tanesco kwa jina lake 2: Kama ni mali ya mpangaji je akihama anaweza kuhama na LUKU yake? 3: Kama inabidi iandikishwe kwa jina la mwenye nyumba je, mpangaji anaweza kuimiliki kama ameilipia yeye 4: Mwisho...
  11. raia tz

    JamiiForums Tanzania Kupata mkopo mil50 kutoka barclays!!

    hapana mkuu marcopolo kuna details haziko sahihi, huo mkopo unaweza lipa hadi kwa miaka 6, ni lipato prefered ni kuanzia 1 million and not 4 million
  12. raia tz

    JamiiForums Tanzania Msaada nina wazo la kununua hp printer inayotumia techology ya ciss

    Wakuu habari zenu: Nina wazo la kununua printer ya HP inayotumia hii technology ya CISS (Continuous ink supply system). Nilivutika na hii technology kutkana na nilivyoifikiri kuwa ni ya gharama nafuu kwenye ununuzi wa wino. 1: Matumizi ya printer hii Napanga kufanyia bishara, maeneo ya chuo...
  13. raia tz

    JamiiForums Tanzania Msaada, nataka kunua hp printer inayotumia mfumo wa ciss

    Wakuu habari zenu: Nina wazo la kununua printer ya HP inayotumia hii technology ya CISS (Continuous ink supply system). Nilivutika na hii technology kutkana na nilivyoifikiri kuwa ni ya gharama nafuu kwenye ununuzi wa wino. 1: Matumizi ya printer hii Napanga kufanyia bishara, maeneo ya chuo...
  14. raia tz

    JamiiForums Tanzania Mwenye ujuzi na hii printer

    Wakuu habari zenu: Nina wazo la kununua printer ya HP inayotumia hii technology ya CISS (Continuous ink supply system). Nilivutika na hii technology kutkana na nilivyoifikiri kuwa ni ya gharama nafuu kwenye ununuzi wa wino. 1: Matumizi ya printer hii Napanga kufanyia bishara, maeneo ya chuo...
  15. raia tz

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akutana na wahariri; asema madai ya walimu hayatekelezeki!

    mkuu jaribu hii, hiyo ct scan gani mnaizungumzia check hii hapa New & Used CT Scanner | Buy Used CT Scanner Equipment
Back
Top Bottom