Msaada nina wazo la kununua hp printer inayotumia techology ya ciss | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada nina wazo la kununua hp printer inayotumia techology ya ciss

Discussion in 'Matangazo madogo' started by raia tz, Aug 7, 2012.

 1. raia tz

  raia tz Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakuu habari zenu:
  Nina wazo la kununua printer ya HP inayotumia hii technology ya CISS (Continuous ink supply system). Nilivutika na hii technology kutkana na nilivyoifikiri kuwa ni ya gharama nafuu kwenye ununuzi wa wino.

  1: Matumizi ya printer hii
  Napanga kufanyia bishara, maeneo ya chuo nikiwa na target mambo makuu mawili. moja kupiga picha za passport size na mbili kuprint na photocopy (kama hi yo HP printer ina support copying)

  2: Maswali tata niliyonayo.
  Kabla ya kununua printer hii naomba mnisaidie technical details za hii printer na maswali haya

  • Je printer hii wino wake wa kurefill, unapatikana kirahisi, katika mantiki ya kwamba nsije kununua wino ambao ni incompactibe
  • Je ninaweza pata HP printer yenye hii system ya CISS? kama ndio ni wapi hapa Dar, shs ngapi na ni mdel gani? kama siyo HP printer je ni aina gani nyingine ya printer inasupport CISS?

  • Capaity ya ke ikoje on profit basis kama uwezo wa kutoa copy nyingi na ku print copy nyingi ukilinganisha na usual caltilage system
  3: Naomnba msaada huu:
  Naomba nisaidiwe majibu ya vitu tata hapo juu, pia kuna thread inayozungumzia hiyo system (CISS) kama kuna mtu analink naomba anishtue (PM), pia kwa mtu aliye na fyrther info advice please help
   
Loading...