Kupata mkopo mil50 kutoka barclays!!

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,625
68,546
Heshima kwenu JF,
Kuna tangazo huwa nalisikia redioni la demu anamwambia mwanamme kama anataka awe na yeye basi akakope barclays anunue gari,nyumba na vitu vya ndani! Huo mkopo unafika hadi mil50,Sasa kwa mtu ambaye anajua utaratibu au ashachukua huo mkopo wa mil50 atujuze requirements ili nione kama I'm eligible nikachukue!

Shukrani.
 
Kama monthly income yako ni kuanzia mil. 4 kwenda juu unaweza kupata, but you need to have an account with Barclays first.
 
sasa sisi ma bank taller! huo mshahara wa mil4 twautoa wapi! duh! haya huo ni mkopo wa mafisadi na wenye kazi zao! embu mwangalie mwalimu hapa,doctor hapa,mlinzi hapa,polisi jamii na polisi wale wasio na akili, je watapata mkopo kweli hapa? bado sisi wafanyabiashara wadogo wadogo.

king kong eeeh! huu mkopo hatuhusu bana
 
Heshima kwenu JF,
Kuna tangazo huwa nalisikia redioni la demu anamwambia mwanamme kama anataka awe na yeye basi akakope barclays anunue gari,nyumba na vitu vya ndani! Huo mkopo unafika hadi mil50,Sasa kwa mtu ambaye anajua utaratibu au ashachukua huo mkopo wa mil50 atujuze requirements ili nione kama I'm eligible nikachukue!

Shukrani.

king kong III huu mkopo hautuhusu aisee, monthly income 4mil mkuu, unawenyewe huu mkopo, duh
 
sasa sisi ma bank taller! huo mshahara wa mil4 twautoa wapi! duh! haya huo ni mkopo wa mafisadi na wenye kazi zao! embu mwangalie mwalimu hapa,doctor hapa,mlinzi hapa,polisi jamii na polisi wale wasio na akili, je watapata mkopo kweli hapa? bado sisi wafanyabiashara wadogo wadogo.

king kong eeeh! huu mkopo hatuhusu bana

makundi hayo uliyotaja yanaweza kupata mkopo kuanzia 2.5 mil mpaka 10 mil. Kwa madaktari wapo wanaopata 4 mil, hao wanaweza kuchukua mil. 50.
 
dah! sas m2.5 jamani! kwa jiji hili,si nauli ya bajaji hiyo, daah! poa mimi ntakuja kukopa 2.5, vipi mukuu! uko barclays
nini?
 
Aisee umenichekesha sana. Ndio maisha mkuu, polepole ndio mwendo, hata vidole havilingani.
by the way, siko Barclays ila kama unahitaji mkopo naweza kukuconnect na watu wakakusaidia and of course sio kukusaidia ni kusaidiana kwa sababu mkopo ni bidhaa na mkopaji ni mteja.
 
ngoja nikale mkopo wa mil2.5, ninyweee bia na nyama during mechi ya ligi mbalimbali ulaya. nipunguze mawazo
 
Thanks ZeMarcopolo kwa info
markj kweli bwana 4m per monthly sie wafungua mageti na wapiga deki hautuhusu huo wa mil50! Da mkopo wa chini ya mil25 haunifai.
 
Last edited by a moderator:
hapana mkuu marcopolo kuna details haziko sahihi, huo mkopo unaweza lipa hadi kwa miaka 6, ni lipato prefered ni kuanzia 1 million and not 4 million
 
Miaka 6 ni miezi 72. Ukilipa bila interest ni wastani wa sh. laki 7 kwa mwezi. With 18% interest, utatakiwa kulipa 1.5 mil kwa mwezi. Mtu mwenye mshagara wa mil. 1 atalipa vipi deni la mil 1.5 kwa mwezi?
 
hapana mkuu marcopolo kuna details haziko sahihi, huo mkopo unaweza lipa hadi kwa miaka 6, ni lipato prefered ni kuanzia 1 million and not 4 million

Hata mie nimesikia radio kwamba unatakiwa uwe na salary ya milion 1 na unalipa for 6 years pia bima ya mkopo ni ya barclays wenyewe nadhani kipindi cha powerbreakfast ya clouds fm mara nyingi Barclays tangazo lao huwa linasikika kama wadhamini hivyo unaweza sikiliza kesho asubuhi kama utapata muda kujua detail
 
Try to brakdown mil 50 into monthly installments for 6 years plus interest, utagundua kuwa mshahara wa mil. 1 haukopesheki mil. 50.
 
Heshima kwenu JF,
Kuna tangazo huwa nalisikia redioni la demu anamwambia mwanamme kama anataka awe na yeye basi akakope barclays anunue gari,nyumba na vitu vya ndani! Huo mkopo unafika hadi mil50,Sasa kwa mtu ambaye anajua utaratibu au ashachukua huo mkopo wa mil50 atujuze requirements ili nione kama I'm eligible nikachukue!

Shukrani.

King Kong, unataka kuoa?
 
Try to brakdown mil 50 into monthly installments for 6 years plus interest, utagundua kuwa mshahara wa mil. 1 haukopesheki mil. 50.

Kweli mdau umefanya analysis ya kisayansi zaidi maana ukichukua milion 50 ukagawa kwa miaka 6 unapata kama 8.3 million per year nadhani kwa sheria za bank kuu marejesho yanatakiwa yawe 40% ya salary ambayo ni 400,000 (tena inaweza kuwa chini ya hapa maana wanapigia net pay na hiyo million ni gross ukikata kodi lazima mtu alambe laki 7 net hivyo hata 40% ya marejesho itakuwa ndogo na kua-affect ukubwa wa mkopo) kwa mwezi kwahiyo utagundua huyu jamaa wa 1 million anatakiwa akope nadhani kiwango kisichozidi million 20 kama sikosei maana sina uzoefu na haya mambo. In this case basi lile tangazo litakuwa wanaotakiwa kukopa wawe na salary kuanzia million moja na kuendelea ili ukienda ndio wanaanza kukuelimisha na kukupa kutokana na mshahara wako na kama ume-qualify wanakupa hiyo 50m (nadhani tangazo ni sehemu ya kuhamasisha watu)
 
barclays ndio benki inayoibiwa sana tz,wafanyakazi wake wanapiga sana hela pale halaf mahakamani wanashinda kesi,changamkieni fursa hiyo,jamaa hawapo makini kabisa,wanaweza hata kwenye database yao wasikuone,i naenda sasa hv kuchukua mihela ya burebureeee
 
Try to brakdown mil 50 into monthly installments for 6 years plus interest, utagundua kuwa mshahara wa mil. 1 haukopesheki mil. 50.

Kweli mdau umefanya analysis ya kisayansi zaidi maana ukichukua milion 50 ukagawa kwa miaka 6 unapata kama 8.3 million per year nadhani kwa sheria za bank kuu marejesho yanatakiwa yawe 40% ya salary ambayo ni 400,000 (tena inaweza kuwa chini ya hapa maana wanapigia net pay na hiyo million ni gross ukikata kodi lazima mtu alambe laki 7 net hivyo hata 40% ya marejesho itakuwa ndogo na kua-affect ukubwa wa mkopo) kwa mwezi kwahiyo utagundua huyu jamaa wa 1 million anatakiwa akope nadhani kiwango kisichozidi million 20 kama sikosei maana sina uzoefu na haya mambo. In this case basi lile tangazo litakuwa wanaotakiwa kukopa wawe na salary kuanzia million moja na kuendelea ili ukienda ndio wanaanza kukuelimisha na kukupa kutokana na mshahara wako na kama ume-qualify wanakupa hiyo 50m (nadhani tangazo ni sehemu ya kuhamasisha watu)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom