Recent content by Rahma Nyusi

  1. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Chuo chao kimefungiwa, je atapataje cheti?

    Ahsante sana kwa kunifariji.Dogo chuo aliudhuria vizuri na nimeona kwenye system yao matokeo yake yako vizuri ila cheti tatizo kila siku wananipiga calender
  2. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Chuo chao kimefungiwa, je atapataje cheti?

    Hakuna aliyepata cheti.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Chuo chao kimefungiwa, je atapataje cheti?

    Habarini jf. Nina mdogo wangu amemaliza certificate royal college mwaka jana ila mpaka sasa hajapata cheti. Nimejaribu kufatilia chuoni mara kadhaa wana sema vyeti bado havija sainiwa nimeuliza vitatoka lini kila siku wananipiga calender. Siku za hivi karibuni nimefatilia kuna dogo alikuwa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anakosa ute wakati wa tendo ushauri wako tafadhali

    Apendelee kula nanasi na nyanya chungu ni zuri kwa mwanamke kwa ajili ya kuzalisha ute.Pia awe anakunywa maji kwa sana.Na kingine muhimu apate banabanduka ni kiboko kwa wanandoa ,hii banabanduka ni zoezi mwanamke anatakiwa kufanya uke unarudi na kuwa mdogo na pia anapata ute ute kwa wingi
  5. R

    JamiiForums Tanzania Tukumbuke majina ya utani kwa walimu shule tulikotoka

    Comfortable (huyu alikuwa mwalimu wa physics kiomoni sec alikuwa anapenda kutamka comfortable kila anapofundisha) assumed mean (huyu mwl ya math alitufundisha statistics basi kila akifundisha lazima akumbushie assumed mean)
  6. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi smart kichwani, hawako romantic?

    [emoji1] [emoji1] yani fact tupu
  7. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji website

    0768779015 nipo DSM nitafute
  8. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

    ARV zipo za aina nyingi mno kila mtu anapewa kulingana na kiwango cha CD4 yake Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
  9. R

    JamiiForums Tanzania Wamasai tunadharaulika pasipo sababu

    :D:D:D
  10. R

    JamiiForums Tanzania Usilolijua kuhusu mkoa wa Shinyanga

    Ngoja Wasukuma waje
  11. R

    JamiiForums Tanzania Somo kwa dada zangu, sio kila funguo ni kweli za gari!!!

    kali ya mwaka hii.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ni wapi ilipo ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora?

    Nauli bei gani?
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ni wapi ilipo ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora?

    Ndio kuna nini hapo chuoni?
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ni wapi ilipo ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora?

    Mhhhhhhhhh!!!mbaliiii.una pumzka njiani mara ngapi?
  15. R

    JamiiForums Tanzania Ni wapi ilipo ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora?

    Habarini wa kuu, Mimi nipo Dar es salaam nataka kwenda ofisi ya mkuu wa mkoa Tabora.Sasa naomba msaada wenu wakuu kwa wanaojua 1. Kutoka Dar es salaam hadi Tabora inachukua muda gani kwa usafiri wa basi? 2. Ofisi ya mkuu wa mkoa Tabora ipo umbali gani kutoka stend kuu ya mabasi Tabora? 3...
Back
Top Bottom