Wamasai tunadharaulika pasipo sababu

Wamasai tunadharaulika pasipo sababu

Tatizo wamasai hawataki kubadilika .wachafu sana alafu .kuen mnaenda na wakati bac
 
Ekotikeeeee Ekotikeeeee X 5. Twanga foto ooh. ...twaaaaa
 
Mnanyanyasa wanawake kwenu hawana thamani na nyie wavivu sana wanawake hutunza mji na kujenga nyumba,MNA matusi sana nyie japo mambo Fulani ya dushe mko vizur
 
Vivutio vya utalii.....duh

Ndo maana nikipita Geti la ngorongoro au Serengeti (sijui Fort Ikoma pale) watu tunalipia ila nyie hamlipi.

Hapa ndo mnapotengwa
 
Pamoja na kuiingizia nchi matrilioni kupitia utalii. Lakini pindi tu mtu anajua wewe ni mmasai anaanza dharau za ghafla. Kama vile umejinyea. Shida ni nini wandugu? Au kwa sababu tunavaa lubega? Sisi wote ni watanzania.
utaambiwa umeginyea bila kuwa na harufu ya mavwi?
 
Njoo huku ukutane na masai bishoo ndinga, nyumba kali nani a lete dharau
 
Mnapenga makamasi hivyo hata kwenye daladala, mnapaka mafuta ya ng'ombe harufu kali na hamjali, huwa hamuogi mara nyingi na kqenu sio issue, mnaishi vinyumba vya nyasi huku mnamiliki maelfu ya mifugo!
Mnawala mabinti zenu na chumvi hata kabla hawajaota matiti mmeoa(ubakaji), ni wabishi kitu msichokijua mnabisha hadi kupigana na virungu
N.K
Jaribu kuuliza ukoo wako ! Chimbukoko lao ni wapiii!! Acha kusema mila za wengine!! Kila mtu ana mila yao!
 
Pamoja na kuiingizia nchi matrilioni kupitia utalii. Lakini pindi tu mtu anajua wewe ni mmasai anaanza dharau za ghafla. Kama vile umejinyea. Shida ni nini wandugu? Au kwa sababu tunavaa lubega? Sisi wote ni watanzania.
Siyo kwamba unajinyanyapaa mkuu, mbona miminapenda sana nditoza kimasi kuliko wengine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom