Ni wapi ilipo ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora?

Mkuu ukipanda kisbo safari unaonfoka dar saa 12 asubuhi unafika saa moja jion au mbili mkichelewa sana, lodge nzuri za bei ya elf 15 zilizo karibu na stand ni Zimbabwe, goodnight au byb lodge, maeneo ya kanyenye ni kwihala lodge, white sarkozy, ck etc kutoka stand kwenda ofisi ya mkoa wa mkoa ni mwendo wa dakika ka nne mpaka tano kwa bodaboda, kama wewe ni mwanaume ukitaka totoz fika chuo cha Uhadhiri, zero , shimoni au tembelea kiwanja kipya cha oxygen longe and bar!

Nimenyanyua mikono juu, ila inaonekana umetoka huko muda mrefu.
White Sarkozy inajaa maji balaa, siku hizi kuna vitu vipya - goodely, frankman, etc pia st Augustine university,
 
Umeisahau Florida karibu na uwanja wa mpira
 
Tabora kuna giza ile mbaya. Hii ni miezi ya September mpaka December. Mitaa haina taa pia na nyumba nyingi hazina umeme. Pia nyumba nyingi ni za udongo ama sementi ya hali ya chini. Maeneo ya Isevya design ya nyumba ni zile za toka miaka ya 1960. Hakuna nyumba mpya Isevya zaidi ya marehemu Mwalimu Kishiki aliyejengewa na mtandao wa vodacom kama barter trade baada ya wao kujenga mnara wao kwenye kiwanja chake. Maeneo ya chemchem, mwanza road, kiloleni na mihogoni hali ya myumba zao ni duni sana lakini wasichana wanaozaliwa katika nyumba hizo ni wakali kinoma. Ni warembo sana.......
ULIZA KINGINE MKUU.

Embu malizia tena, atiii? lakini wasichana wanaozaliwa katika nyumba hizo ni wakali kinoma. Ni warembo sana.......
 
Mkuu ukipanda kisbo safari unaonfoka dar saa 12 asubuhi unafika saa moja jion au mbili mkichelewa sana, lodge nzuri za bei ya elf 15 zilizo karibu na stand ni Zimbabwe, goodnight au byb lodge, maeneo ya kanyenye ni kwihala lodge, white sarkozy, ck etc kutoka stand kwenda ofisi ya mkoa wa mkoa ni mwendo wa dakika ka nne mpaka tano kwa bodaboda, kama wewe ni mwanaume ukitaka totoz fika chuo cha Uhadhiri, zero , shimoni au tembelea kiwanja kipya cha oxygen longe and bar!

mwambie akalale cheyo pub Kwa mrema kwani ndo karibu na ofisi ilipo
 
Tabora kuna giza ile mbaya. Hii ni miezi ya September mpaka December. Mitaa haina taa pia na nyumba nyingi hazina umeme. Pia nyumba nyingi ni za udongo ama sementi ya hali ya chini. Maeneo ya Isevya design ya nyumba ni zile za toka miaka ya 1960. Hakuna nyumba mpya Isevya zaidi ya marehemu Mwalimu Kishiki aliyejengewa na mtandao wa vodacom kama barter trade baada ya wao kujenga mnara wao kwenye kiwanja chake. Maeneo ya chemchem, mwanza road, kiloleni na mihogoni hali ya myumba zao ni duni sana lakini wasichana wanaozaliwa katika nyumba hizo ni wakali kinoma. Ni warembo sana.......
ULIZA KINGINE MKUU.

jaman jaman, we umeulizwa hali ya hewa na ofisi ya mkuu wa mkoa, we unaelezea mitaa ya kwetu na nyumba zetu mara waschana mwe!! so funny lakini
 
Tabora kuna giza ile mbaya. Hii ni miezi ya September mpaka December. Mitaa haina taa pia na nyumba nyingi hazina umeme. Pia nyumba nyingi ni za udongo ama sementi ya hali ya chini. Maeneo ya Isevya design ya nyumba ni zile za toka miaka ya 1960. Hakuna nyumba mpya Isevya zaidi ya marehemu Mwalimu Kishiki aliyejengewa na mtandao wa vodacom kama barter trade baada ya wao kujenga mnara wao kwenye kiwanja chake. Maeneo ya chemchem, mwanza road, kiloleni na mihogoni hali ya myumba zao ni duni sana lakini wasichana wanaozaliwa katika nyumba hizo ni wakali kinoma. Ni warembo sana.......
ULIZA KINGINE MKUU.

Dah,umenikumbusha mbali sana mkuu wangu..back in the end of 90s..vyovyote iwavyo naimiss sana mboka manyema! Enzi hizo hakuna boda boda wala daladala,kitu ni baiskeli tu..source of income being kambi za jeshi tu..mwisho wa mwezi mji unang'aa,wajeda wanatia heshima mjini!

Ila kwenye baridi hapo watu wametia chumvi jamani,au siku hizi majira yamebadilika?..nijuavyo mimi baridi sio sana and it's just 2 months..labda upepo tu;nao sio shida sana kama umewahi kuishi dodoma huwezi kuona tabu..Good enough tabora hakuna vumbi la poda kama moshi na mbeya wakati wa majira ya kiangazi..
 
usijichoshe bana, panda Precision, ratiba jtatu, jtano na ijumaa.
 
Dah,umenikumbusha mbali sana mkuu wangu..back in the end of 90s..vyovyote iwavyo naimiss sana mboka manyema! Enzi hizo hakuna boda boda wala daladala,kitu ni baiskeli tu..source of income being kambi za jeshi tu..mwisho wa mwezi mji unang'aa,wajeda wanatia heshima mjini!

Ila kwenye baridi hapo watu wametia chumvi jamani,au siku hizi majira yamebadilika?..nijuavyo mimi baridi sio sana and it's just 2 months..labda upepo tu;nao sio shida sana kama umewahi kuishi dodoma huwezi kuona tabu..Good enough tabora hakuna vumbi la poda kama moshi na mbeya wakati wa majira ya kiangazi..

bora umesema kweli wamezidi kutuponfea hadi chumvi sana
 
Nimenyanyua mikono juu, ila inaonekana umetoka huko muda mrefu.
White Sarkozy inajaa maji balaa, siku hizi kuna vitu vipya - goodely, frankman, etc pia st Augustine university,

I like Frankman!!!
 
Tabora kuna giza ile mbaya. Hii ni miezi ya September mpaka December. Mitaa haina taa pia na nyumba nyingi hazina umeme. Pia nyumba nyingi ni za udongo ama sementi ya hali ya chini. Maeneo ya Isevya design ya nyumba ni zile za toka miaka ya 1960. Hakuna nyumba mpya Isevya zaidi ya marehemu Mwalimu Kishiki aliyejengewa na mtandao wa vodacom kama barter trade baada ya wao kujenga mnara wao kwenye kiwanja chake. Maeneo ya chemchem, mwanza road, kiloleni na mihogoni hali ya myumba zao ni duni sana lakini wasichana wanaozaliwa katika nyumba hizo ni wakali kinoma. Ni warembo sana.......
ULIZA KINGINE MKUU.

Ongea na mazuri ya Tabora basi....nyie ndo mnafanyaga watu wakatae kwenda sehemu hata kabla hawajafika...au hakuna hata moja zuri huko
 
Mkuu ukipanda kisbo safari unaonfoka dar saa 12 asubuhi unafika saa moja jion au mbili mkichelewa sana, lodge nzuri za bei ya elf 15 zilizo karibu na stand ni Zimbabwe, goodnight au byb lodge, maeneo ya kanyenye ni kwihala lodge, white sarkozy, ck etc kutoka stand kwenda ofisi ya mkoa wa mkoa ni mwendo wa dakika ka nne mpaka tano kwa bodaboda, kama wewe ni mwanaume ukitaka totoz fika chuo cha Uhadhiri, zero , shimoni au tembelea kiwanja kipya cha oxygen longe and bar!

E bhana eh...tukutane oxygen kama vp...
 
Back
Top Bottom