Recent content by radhaki

  1. radhaki

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    1.Jean Baron -Batchi (i.e Tournez Manege) 2.Ottu - Kimanzichana. 3.Nyimbo fulani Awilo Longomba kashirikishwa ina kama kionjo cha wimbo wa Michael Jackson cha who is bad
  2. radhaki

    Waliosoma Jitegemee Secondary School hebu ingieni hapa Tusalimiane

    Kwa wale walosoma miaka ya tisini mwishoni na wale tulokuwa pale miaka ya 2000 - 2007 wanamfahamu vizuri.... Wajadi alikuwa mmoja wa walimu waandamizi wa somo la Book keeping na Commerce hasa book keeping...Pia alikuwa miongoni mwa Ma-patron na walimu waliounda kamati ya nidhamu ya...
  3. radhaki

    Sheikh wa Dar unapotoka kuingilia yasiyokuhusu! Sakata la CAG hukutakiwa kutia neno...

    Sheikh maslahi tena anamfanyia hila Muislam mwenzie ,kwani kuna baya CAG aloongea ....Sheikh muogope Mungu wako njaa itakupeleka pabaya.... Sent using Jamii Forums mobile app
  4. radhaki

    Sheikh wa Dar unapotoka kuingilia yasiyokuhusu! Sakata la CAG hukutakiwa kutia neno...

    Njaa iishie tumboni tu ikihamia kichwani waweza kuwa chizi Sent using Jamii Forums mobile app
  5. radhaki

    Naombeni msaada wa kisheria

    Msomi hujanielewa , Sikumaanisha shahidi kuhusishwa katika shauri,niliulizia suala hilo ktk kuuongezea nguvu mkataba huo wa kilaghai ulofanyika ya kwamba ni kweli umefanyika... Mimi niloulizia hawakuambatanishwa kama washtakiwa ni hao wawili chini ktk maelezo yake ambao wameshirikiana na hao...
  6. radhaki

    Naombeni msaada wa kisheria

    Je katika hayo mauziano na ww ulikuwa na shahidi wako aloshuhudia mkiingia hayo makubaliano ????? Ilikuwaje hao wawili hapo chini hawakuambatanishwa katika hilo shauri ??? Fuatilia kwa ukaribu sana shauri lako usije ipoteza haki yako,
  7. radhaki

    Msaada kisheria

    Je kuna uthibitisho wa aina yoyote kuonesha ya kwamba mliingia makubaliano ya mauziano????
  8. radhaki

    Rais Magufuli: TLS ni mali ya umma, isigeuzwe mali binafsi

    Kaka heshimu taaluma za watu...mawakili wapo karibu elfu tisa ...haiwezekani mtu apate kura zaidi ya asilimia 70 utuaminishe ni chama cha wahuni...
  9. radhaki

    Fatuma Karume wa TLS ni lini ataenda kujitambulisha Dodoma?

    Mbona alikuwepo bungeni kama mgeni siku ambayo waziri Kabudi alikuwa anawasilisha mpango wa makadirio wa wizara ya katiba na sheria...
  10. radhaki

    Zitto Kabwe aombe radhi hadharani kwa kupotosha umma

    Kwa nini nguvu kubwa inatumika kukanusha ...hii inatufanya raia tusio ktk mrengo wowote wa kisiasa tubaki tukijiuliza..tuki-refer suala la EPA ..kulikuwa na mvutano kama hv juu ya fedha ni za nani hasa..mwisho wa siku tukaona kilichotokea
  11. radhaki

    matrimonial cases

    Thread hio hapo juu ukiifungua kuna law report,vitabu vya sheria,Statutes na hata Legal templates.....
  12. radhaki

    matrimonial cases

    Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa
Back
Top Bottom