Pesa hazijulikani zilipo, hazijapotea, hazijaibwaUungwana ni vitendo

Wewe umewah kununua hio sukari ya 5000 ?Alivyoingia Magufuli Sukari ilifika 5000 na thread ya ukweli hui imo humu jamvini
Ujinga ni mzigo.chukua hatuaView attachment 750769
Hii sio mara ya kwanza kwa mheshimiwa huyu kujitokeza hadharani na kuzua mambo yenye kuleta taharuki na usumbufu kwa umma.
Uzushi wake hulenga kuchafua na kufarakanisha umma wa Watanzania.
Naweza kurejea mifano kadhaa ya matamko yake yenye uzushi na yanayojaribu kutumia misinterpretation ya taarifa mbalimbali ili kuvuruga thinking ya jamii.
1-Ni miaka takriban 6 Zitto alijitokeza na kuahidi mbele ya umma kuwa ana majina ya vigogo wa serikali na kijamii ambao wameficha fedha Ughaibuni aliahidi kuwataja hadharani ila hadi leo hakufanya hivyo.
2-Mwaka jana tu Zitto alitoka kwenye vyombo mbalimbali vya habari haswa haswa mitandaoni na kuudanganya umma kuwa nchi ina janga la njaa na Rais alipaswa kutangaza hali ya hatari au baa la njaa baada ya kauli hii tulishuhudia mkanganyiko, hofu na taharuki zisizokuwa na ulazima wowote.
Kwa kuwa nchi hii inalindwa na baraka za Mwenyezi Mola neema ya chakula ikawepo hadi tukaruhusiwa kuuza nje na bei ya chakula kushuka haswa.
3-Ni Zitto huyu huyu kwa mara nyingine tena amejaribu kuleta mgogoro na mfarakano nchini kwa makusudi kabisa kupotosha maana na uhalisia wa taarifa ya CAG na hivyo pengine kuwafanya wabunge wasihoji maeneo ya maana katika taarifa ile na wakajikita katika kujadili fallacy zilizoletwa na Zitto.
Yaani ninamfananisha Zitto na "bush-CAG" "bush lawyer" au "bush data analyst"
Maoni/Ushauri
Jamii iendelee kumpuuza mtu wa namna hii kwani tulishawahi kusikia kuwa wapo baadhi ya wanasiasa wanaishi na kupata fedha kwa kuzusha mambo na kuchafua watu ili waitwe na kunyamazishwa kwa hongo.Good thing awamu hii imegoma kufanya haya.
Nashauri wasomi wetu mbalimbali kuchukua role zao na sio kushabikia udaku unaotoka Instagram, facebook n.k zinapokuja ripoti kama hizi zenye kuhitaji utaalamu na sio siasa basi vyama na taasisi mbalimbali za kiweledi na kitaaluma zichukue roles zao kujadili na kuelezea kitaalamu kuhusu taarifa zilizomo.
Tusiwaache wanasiasa kutuaibisha na kuabisha taifa kiasi hiki.
Mwisho:
Zitto aombe radhi kiungwana tu kwani ukiwa beach na watoto halafu ukawa umevaa vazi la kikoi ni lazima upepo utakuumbua na kamwe huwezi ukashindana na upepo wa beach.
Soma: Serikali imepoteza TZS 1.5 trilioni mwaka 2016/17. Imetumia Mabilioni kinyume na Utaratibu, Imelipa Madeni Hewa
Soma: Tamko la Serikali: Hakuna fedha tasilimu ya shilingi trilioni 1.51 iliyopotea, ni madai ya wasiolitakia mema taifa letu
Soma: Kuapishwa kwa majaji wapya Ikulu: CAG mbele ya Rais Magufuli, akanusha Shilingi trilioni 1.5 kuibwa/kupotea
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Mkuu usihangaike na hawa pimbi,ID yake inasadifu uelewa wake kiufupi sio kosa lake huyo ni kosa la kichwa chake kujaa kamasi.Nyau kabisa haya ndo yatakayotuchelewesha kupiga hatua.Wewe umewah kununua hio sukari ya 5000 ?
Got uMkuu usihangaike na hawa pimbi,ID yake inasadifu uelewa wake kiufupi sio kosa lake huyo ni kosa la kichwa chake kujaa kamasi.Nyau kabisa haya ndo yatakayotuchelewesha kupiga hatua.
Cool.Got u
View attachment 750769
Hii sio mara ya kwanza kwa mheshimiwa huyu kujitokeza hadharani na kuzua mambo yenye kuleta taharuki na usumbufu kwa umma.
Uzushi wake hulenga kuchafua na kufarakanisha umma wa Watanzania.
Naweza kurejea mifano kadhaa ya matamko yake yenye uzushi na yanayojaribu kutumia misinterpretation ya taarifa mbalimbali ili kuvuruga thinking ya jamii.
1-Ni miaka takriban 6 Zitto alijitokeza na kuahidi mbele ya umma kuwa ana majina ya vigogo wa serikali na kijamii ambao wameficha fedha Ughaibuni aliahidi kuwataja hadharani ila hadi leo hakufanya hivyo.
2-Mwaka jana tu Zitto alitoka kwenye vyombo mbalimbali vya habari haswa haswa mitandaoni na kuudanganya umma kuwa nchi ina janga la njaa na Rais alipaswa kutangaza hali ya hatari au baa la njaa baada ya kauli hii tulishuhudia mkanganyiko, hofu na taharuki zisizokuwa na ulazima wowote.
Kwa kuwa nchi hii inalindwa na baraka za Mwenyezi Mola neema ya chakula ikawepo hadi tukaruhusiwa kuuza nje na bei ya chakula kushuka haswa.
3-Ni Zitto huyu huyu kwa mara nyingine tena amejaribu kuleta mgogoro na mfarakano nchini kwa makusudi kabisa kupotosha maana na uhalisia wa taarifa ya CAG na hivyo pengine kuwafanya wabunge wasihoji maeneo ya maana katika taarifa ile na wakajikita katika kujadili fallacy zilizoletwa na Zitto.
Yaani ninamfananisha Zitto na "bush-CAG" "bush lawyer" au "bush data analyst"
Maoni/Ushauri
Jamii iendelee kumpuuza mtu wa namna hii kwani tulishawahi kusikia kuwa wapo baadhi ya wanasiasa wanaishi na kupata fedha kwa kuzusha mambo na kuchafua watu ili waitwe na kunyamazishwa kwa hongo.Good thing awamu hii imegoma kufanya haya.
Nashauri wasomi wetu mbalimbali kuchukua role zao na sio kushabikia udaku unaotoka Instagram, facebook n.k zinapokuja ripoti kama hizi zenye kuhitaji utaalamu na sio siasa basi vyama na taasisi mbalimbali za kiweledi na kitaaluma zichukue roles zao kujadili na kuelezea kitaalamu kuhusu taarifa zilizomo.
Tusiwaache wanasiasa kutuaibisha na kuabisha taifa kiasi hiki.
Mwisho:
Zitto aombe radhi kiungwana tu kwani ukiwa beach na watoto halafu ukawa umevaa vazi la kikoi ni lazima upepo utakuumbua na kamwe huwezi ukashindana na upepo wa beach.
Soma: Serikali imepoteza TZS 1.5 trilioni mwaka 2016/17. Imetumia Mabilioni kinyume na Utaratibu, Imelipa Madeni Hewa
Soma: Tamko la Serikali: Hakuna fedha tasilimu ya shilingi trilioni 1.51 iliyopotea, ni madai ya wasiolitakia mema taifa letu
Soma: Kuapishwa kwa majaji wapya Ikulu: CAG mbele ya Rais Magufuli, akanusha Shilingi trilioni 1.5 kuibwa/kupotea
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Bado unakata miuno hapa tena wewe ajuza?Kumbu kumbu pia zinasema Zitto alileta tafrani kwenye chama cha Chadema mpaka akafukuzwa.
Taifa la LumumbaZitto kwahili umelikosea taifa
Kwa lipi?CAG aachie ofisi ya umma amejidhalilisha.
Si ameshasema hayuko tayari kubatilisha kauli yake? Na yuko tayari kushtakiwa?? Sasa kwanini muanze kumbeleza!? jingalao kuna haja ya ku compromise na mhalifu kweli