Unaonekana ata hufatilii, kwenye page ya youtube ya yapi markenzi wanaweka report za kila mwezi za progress ya miradi hio, wanatumia drone kuonesha njia nzima ya dar to moro. So mwenyewe unaweza kukadiria kama bado mpaka miaka mitano au tusibiri mwezi wa nne mwaka huu waanze testing ya train
Inshu ya liganga na mchuchuma, Tanzania ilisaini deal la investment ya $3 Billion na kampuni ya china, deal inayohusisha uchimbaji wa coal na uzalishaji wa umeme 600MW ambayo 250MW inabaki kuendesha mgodi wa iron liganga na 350MW kwenda grid ya taifa. Kwenye investment hio ilikua inaenda...
Mfanyakazi wa kike wa GGM ashikiliwa na Polisi kwa kumvisha Pete Mwanamke mwenzake
Kama ingekua serikali ya Tanzania haipingi masuala hayo, hao wahusika wasingekamatwa na polisi kwa kosa hilo.
Huenda huo Mlima kilimanjaro ukawa chanzo cha mgogoro baina ya nchi mbili ulio pakana nazo.
Pia na hapo juu kwenye picha ya mchoro wa kichwa cha mtu pameandikwa facial recognition.. Hii ina maana facial recognition itakumbana na mabadiliko makubwa ya kiteknolojia na ndo itakua njia ya...
Omba course nyingine, me mwaka jana nilikosa chuo nimekaa home mwaka mzima. Nilipata one ya tisa PCB nikang'ng'ana kuomba Md nikatemwa bila chenga, mwaka huu nimeomba tena, awamu ya kwanza nimekosa live yanii nilihasirika kisaikolojia for little while, awamu ya pili nimeomba tena vyuo vingi na...
Hayo majina mengine ya wenye matatizo mbalimbali kama yatima au kukosa mzazi mmoja. Walioambatanisha death certificates..
Me nimeambatanisha death certificate lakini jina langu halipo kwenye list ya kwanza wala ya hio pili..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.