Msaada wa Mawazo wanabodi nimedsco chuo.

Msaada wa Mawazo wanabodi nimedsco chuo.

Sijajua Malengo yako zaidi lakini kama una Spirit au nia ya kusoms Nends kasome kwa Maana Elimu ni moja wapo ya njia muhimu ya Mafanikio,
Kama huna moyo wa kusoma fanya mambo mengine akili ikiwa imetulia na una nia basi uta apply upya na chagua kozi zenye ajira mapema
 
Acha urongo wewe unadhani Sua ndo chuo kigumu sana!? Unaijua departmental gpa ya Conas wewe? Watu wanadisco na migpa mikubwa tu pale kisa departmental gpa
Conas kuna course gani ngumu pale acha blah blah....

Kama mtu anashindwa kufaulu kwa multiple choice.. matching item tena kwa average ya 40 kama passmark...

Je 50 atafikisha kweli, embu tujaribu kuwa serious kidogo....
 
Pole sana ndugu, kudisco chuo sio mwisho wa ndoto zako, usikate tamaa achana na kuappeal fanya uapply upya au subir mwakani uaply upya, trust me ww sio wa kwanza kudisco chuo, muda mwingne huwa ni mipango ya mungu ili kukuonyesha njia nyingne ya kutokea,
Mimi nilidisco chuo pale DUCE kwa course ambayo nilikuwa sipo confortable nayo, nilipitia kipindi kigumu sana maana nilirudi mtaani, alafu mtaani pagumu, nilikaa home mwaka mzma nikatafuta pesa, nikarejesha 25% ya loan board na nikaaply chuo upya, Nashukur mungu kwa sasa npo MUHAS, nilipata tena mkopo, nasoma course ambayo npo confortable nayo, sijawahi pata supp.
Hivyo usikate tamaa ukajiona ww mjinga, cha msingi angalia ulikosea wapi na jipange upya, Utatoboa tu.
 
Umedisco UDSM?? UDSM hii hii niijuayo..??
Acha uzembe dogo...
Nenda CBE, TIA, TEKU. UDSM ni chuo rahisi sana ni uzembe kudisco kwa system ya GPA...
Acha ujinga unamshauri mtu aende TEKU.?
 
Duh kiukwel mimi sina cha kukushauri kati ya ivo ulivotaja hapo coz na mm mungu akipemda ndo tutakuja uko mwez wa 10 bali nimependa tu kukomenti just like kukutakia pole mkuu tena pole sana kaka subir wadau waje naamini watakushauri vzuri sana hawa majamaa
Unaenda kupiga course ipi ndugu?
 
Wengi humu Inawezekana hamjawahi pitia hali kama hii kwa wale mliopitia sayansi courses mnaelewa tunavyoclear masomo kwa mbinde na kukosa supplimentary ni Bahati. Dogo Ana moyo sana kujitokeza kwa hali iliyomtokea maana hata marafiki wanamkwepa sasa hivi.Mimi nashauri omba course nyingine chuo hicho au kingine naamini kufell ni kujifunza na hautafell tena. Hawa wanaokucheka leo mtakutana kwenye maisha mtaani huko mbeleni ukiwa Safi na ajira yako
 
Ama kozi mkuu
Mimi ni mwanafunzi hapo UDSM mwaka wa kwanza kwa bahati mbaya matokeo yangu hayakua mazuri kwa sababu mbalimbali kwaiyo nimedsco. Nilikua naomba msaada wa mawazo wanabodi...
1. Je!!, nikubaliane na matokeo nifanye ishu nyingine za maisha na je nianzie wapi..
2.Au nifanye mchakato wa kuappeal, na uo utaratibu wa kuaappel unakuaje.
NATANGULIZA SHUKURANI
 
Acha urongo wewe unadhani Sua ndo chuo kigumu sana!?
Nani kakuambia SUA ni kugumu?
Unaijua departmental gpa ya Conas wewe? Watu wanadisco na migpa mikubwa tu pale kisa departmental gpa
Conas ni kitu gani? katika hii mada au kwenye post yangu kuna sehemu tumeongelea hiyo conas yako? kama hamna inaingiaje hapa?
 
Conas kuna course gani ngumu pale acha blah blah....

Kama mtu anashindwa kufaulu kwa multiple choice.. matching item tena kwa average ya 40 kama passmark...

Je 50 atafikisha kweli, embu tujaribu kuwa serious kidogo....
Acha sifa za kitoto wewe unataka kusema conas amna course ngum au ndio Ploud za jf
 
Pole Sana mkuu, sababu ulishafanya vibaya kwenye mitiani sikushauri u appeal,
Kama unafani tofauti na shule Bora uifanye tena Kwa nguvu zote au uombe course nyingne kwenye vyuo vingine
 
Pole sana ndugu, kudisco chuo sio mwisho wa ndoto zako, usikate tamaa achana na kuappeal fanya uapply upya au subir mwakani uaply upya, trust me ww sio wa kwanza kudisco chuo, muda mwingne huwa ni mipango ya mungu ili kukuonyesha njia nyingne ya kutokea,
Mimi nilidisco chuo pale DUCE kwa course ambayo nilikuwa sipo confortable nayo, nilipitia kipindi kigumu sana maana nilirudi mtaani, alafu mtaani pagumu, nilikaa home mwaka mzma nikatafuta pesa, nikarejesha 25% ya loan board na nikaaply chuo upya, Nashukur mungu kwa sasa npo MUHAS, nilipata tena mkopo, nasoma course ambayo npo confortable nayo, sijawahi pata supp.
Hivyo usikate tamaa ukajiona ww mjinga, cha msingi angalia ulikosea wapi na jipange upya, Utatoboa tu.
Guuud
 
Back
Top Bottom