JE USEMI WA KUWA UKISOMA COMPUTER SCIENCE HAKUNA AJIRA NI KWELI?

JE USEMI WA KUWA UKISOMA COMPUTER SCIENCE HAKUNA AJIRA NI KWELI?

Ajira za IT/CS zipo nyingi sana ila lazima uwe nondi kimtindo ili uweze pata hizo fursa. IT/CS kazi zao za msingi ni kama zifuatazo:-
1. NETWORK
2.DATABASE
3.PROGRAMMING.
Kama unataka kupata ajira fasta, lazima uwe nondo kwenye kipengele kimoja wapo, lakini kama mpaka unamaliza chuo bado hujashika popote pale, basi uwezekano wakupata tabu ni mkubwa sana.
Mimi naongea kama degree holder wa IT na nina uzoefu wa miaka 5 kwenye hiyo field.
Shikamoo mzee Mr.mzumbe
 
Ukisoma any IT related field kama C. Science, engineering na information systems kwa lengo la kuajiriwa sidhani kama ni sahihi sana.
 
Zitake hizo fursa mkuu.
Zitake hizo fursa mkuu.
fursa zipo kwenye app developemnt intergartion ya module za malipo na API kama za mpesa tigo pesa au mobile banking, system development hata hizi inventory system bado zinalipa mtaani, ishu za networking ukishindwa sana kuna computer maintance and repair bado unaweza fanya kwa ubora wa hali ya juu kama graduate wa IT, bado kuna site kama fivver ambako kazi nyingi zinatangazwa na unaweza omba na kufanya online, kuna hospital nyingi zinahitaji managemnet system ukitengeneza moja unapiga pesa nzuri tu lakini haya yote mtu aliseoma IT juu juu hawezi fanya kuna graduate wengi wa It hawawezi hata deploy application ya hello world play store.
 
Kwenye ajira huku bongo huwezi ona tofauti yake, lakini ni fani zenye malengo tofauti lakini zinaingiliana na kutegemeana.

1.Computer Science- inahusu kubuni na utengenezaji wa mifumo ya kompyuta( mobile apps, programs, applicatins & Softwares)
2. Information Technology- inalenga kufanya mifumo husika iendane na mazingira husika (software customization)- hili linshusisha mambo mengi
3. Computer Engineering- hii inahusisha ubunifu wa computer circuit, na vifaa vingine vya ki electronic ni sawa na mtu wa Archtecture & civil engineer kwenye ujenz

Note: Module nyingi wanazosoma chuo zinaendana chuo zinaendana lakoni zipo zinazowatofautisha lakini pia ya kila fani ni tofauti mfano:
Computer Science: wanalenga kupata Database developers & systems developers
IT: wanalenga kupata systems administrators, network analysts, Computer security analyst etc
Daaaah kweli chief umenifumbua macho kwakuelezea vizuri kikubwa kusoma ili ajiajili na sio kuajiliwa
 
Vipi kuhusu Software Engineering?!

Kama umeamua ku base kwenye programing, je ni lazima ujue language zote!?
 
Vipi kuhusu Software Engineering?!

Kama umeamua ku base kwenye programing, je ni lazima ujue language zote!?
Ni lazima kujua language zote ili uwe konk zaidi ya dudu baya, ukizijua zote itakupa uwanja mpana sana na kuwa good programmer
 
IT{information technology} ndo iko Bora maana ina wigo mpana sana than computer science kwasababu mtu anayesoma IT{information technology} anaweza kujiajiri na kuajiriwa both private sector like NGO's{non governmental organization's}& public sector like government ko IT is better than computer science be careful with your heart my dear& friends.
Mkuu sio kweli huwezi linganisha computer science na information technology labda kama za hululuuu college lakin sio kwa UDOM,UDSM na DIT ( kwa baadhi nnazozijua) IT ki ujumla imemezwa na computer science kwa asilimia nyingi, mfano sio haraka ukute mtu wa IT kasoma java, c++, python etc lkn computer science lazima ukute kapiga mbili kati ya hzo na vitu vingine vingi tuu
 
Unajua utofauti uliopo Kati ya information technology (IT)& computer science (CS)?
 
Ni kweli haina ajira kama anasoma kwa kufuata mkumbo, zama zimebadilika kwa sasa hakuna kozi ambayo ni 100℅ ajira. Cha muhimu n kujitambua tu
 
Mkuu sio kweli huwezi linganisha computer science na information technology labda kama za hululuuu college lakin sio kwa UDOM,UDSM na DIT ( kwa baadhi nnazozijua) IT ki ujumla imemezwa na computer science kwa asilimia nyingi, mfano sio haraka ukute mtu wa IT kasoma java, c++, python etc lkn computer science lazima ukute kapiga mbili kati ya hzo na vitu vingine vingi tuu
Kweli vipi kuhusu chuo cha ATC(Arusha Technical college kwa IT na CS) kile kilichotengeneza ndege?
 
Back
Top Bottom