- Thread starter
- #121
Usjali mkuu, hii awamu ya nne ya kuapply ww apply chuo chochote na koz yoyote then ukishapata uombe transfer kwa ajili yako unayoipenda na kwa vile vyuo vyene nafasi
Nime kuelewa mkuu
Usjali mkuu, hii awamu ya nne ya kuapply ww apply chuo chochote na koz yoyote then ukishapata uombe transfer kwa ajili yako unayoipenda na kwa vile vyuo vyene nafasi
Umept mwaka huu?
Hapo ndiyo unakosea, yaani una div III ya 13 then unaomba courses zenye competition namna hiyo?Sua-forest na wildlife
pole saana brother but from what i know sua hakuna competition kabisa may be ulichagua program ambazo watu walikuwa wengi kidogo unajua kwenye kuchagua chuo hua nawambia watu kwamba tafuta program ambazo hazina competition kabisa ambazo zipo kwenye college moja na your target program then ukipata unahamia kwenye your target but mzumbe and udsm baadhi ya program ndio huwa wana competition saaana kwa msaada njoo pm nimeifanya saana hii kwa watu na imework kwa 100%SUA ili chelewa kutoa majina ya round ya pili nikijua nta pata apo.Majina kutoka sipo afu huku tayari washa funga udahili kwa round ya tatu
Hapo ndiyo unakosea, yaani una div III ya 13 then unaomba courses zenye competition namna hiyo?
Fourth round omba
Horticulture,Range management, aquaculture, na education hapo SUA.
Ufaulu wako upo chini sana kwa matokeo ya mwaka huu hebu soma alama za nyakati dogo
Nimepata
pole saana brother but from what i know sua hakuna competition kabisa may be ulichagua program ambazo watu walikuwa wengi kidogo unajua kwenye kuchagua chuo hua nawambia watu kwamba tafuta program ambazo hazina competition kabisa ambazo zipo kwenye college moja na your target program then ukipata unahamia kwenye your target but mzumbe and udsm baadhi ya program ndio huwa wana competition saaana kwa msaada njoo pm nimeifanya saana hii kwa watu na imework kwa 100%