Kwan ushatumiwa code mkuu?Naombeni msaada jinsi ya kukomfem kwawale waliochaguliwa UDOM
Bado sijatumiwaKwan ushatumiwa code mkuu?
Ndo tusubir mkuu ata mm nazisubir sana izo code mkuu tuwait wait kwanza coz walisema j3 ndo tutatumiwaBado sijatumiwa
Ok wakianza kutuma tujulishaneNdo tusubir mkuu ata mm nazisubir sana izo code mkuu tuwait wait kwanza coz walisema j3 ndo tutatumiwa
Tuko pa1 mkuuOk wakianza kutuma tujulishane
Vip umepata maana nakuonea huruma unavyosumbuka!Yametoka kweli ya mzumbe?
Kina nan ao mbona mzumbe tayar washatoa janaJamani hawajatoa tu second round selection??
mzumbe sijaona but nmepata sautVip umepata maana nakuonea huruma unavyosumbuka!
mzumbe sijaona but nmepata saut[/QU
status hakuna kitu
Hongera! afadhali umepata kukaa home sio issue kabisa.mzumbe sijaona but nmepata saut
Ada ya mzumbe nafuu hata vyuo vya private..imezoeleka vyuo vya gvt kuwa na ada nafuu kama UDOM,UDSM lakini imekuwa kinyume kwa MZUMBE yaani SAUT degree ya elimu ni milioni na na laki 2 na elfu 60 wakati mzumbe ni milioni na laki 3 Udom laki 7 halafu mzumbe chuo cha gvt kuna kodi yetu hapo wananchi Ndalichako amulike tochi hapo maana kama serikali hii inavyojipambanua kuwa ipo kusaidia masikini kwa mzumbe imekuwa kinyume.mzumbe sijaona but nmepata saut