Ze last Born
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 1,768
- 3,876
Kwani kwenda kuwa mchanja kuni nako kunahitaji knowledge ya "mathematikisi?"Naomba ni kusahihishe apo mkuu sio kweli kwamba uki fail bam ndo hupati chuo nina mshikaji wangu ana CBG-DDC ila bam ana F kapata SUA forest