Recent content by Rack Fikiri

  1. R

    Full Text: Hotuba ya Kambi ya Upinzani Bajeti 2013/2014 iliyosomwa na Freeman Mbowe

    Mh. Amejitahidi kuwakumbusha mambo ya mhimu hasa kwenye mpaka mikopo ya elimu ya juu inavyo chakachuliwa
  2. R

    Wanafunzi Ardhi University waandamana kupinga kuzuiwa kuvaa nguo fupi, kubana

    Let them copy with the situation How can a surveyor work in forert with min skirt?
  3. R

    Gesi asilia imetoa fursa kubwa kwa CHADEMA kujiimarisha maeneo ya Kusini Tanzania

    Hata cku moja jasili hawez kutokea kwenye aman, iache chadema ipete na kufungua fursa mbalimbali. Kimsingi nimekua nikishangaa sana hiv dar kunann! Hospitali kubwa inajengwa huko, viwanda karibu robo tatu vipo dar,gas nayo wanataka indee iuko. Sasa hii inamanisha hakuna sehemu nyingine ambapo...
  4. R

    Akina-KINANA waliishia wapi?

    Macho yametobolewa hawaon wanapoenda
  5. R

    Kuelekea urais mwaka 2015, Lowassa, Dr.Slaa, Lusinde na Magufuli

    Kimsing mlinganisho wako umepotoka sana kwan unajua kura ni tendo la cri thn unataka ni kwambie 4 wht?
  6. R

    Jamani TUNDU LISSU yupo humu JF?Watanzania wenzetu wanaangamia.

    Poleni sana watu wa Ngorongoro lakini believe that these leaders who are betraying you one day will fall and the country will be taken by leaders of the people who will be saving Tanzanians and not their families as what is done today.
  7. R

    Rais Nyerere alipokosa maji ya kuoga Kibondo

    Ki ukweli kama uöngozi wa mwalimu utakumbukwa mana barabara ya kutoka KABARE kupitia MUHANGE,NYAKAYENZI mpaka KINONKO ambayo ilipasuliwa enzi za utawala wa mwalimu Nyerere Siku hizi haipitiki japo shule ilijengwa Nyakayenzi inasikitisha sana mana hata hili ghala alokuwa anakuja kuzindua mwalimu...
  8. R

    Tukio la kutisha limetokea Lamadi, aliyekufa aonekana akiwa hai...

    Jamani tumwamini Mungu hizi ni dalili kuwa Nguvu za Mungu ni kubwa kwa wanaoamini uwepo wa Mungu ko tumgeukie Mungu wetu maishani mwetu anaweza kutukinga na haya majanga ya kidunia
  9. R

    Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    Hawa vijana hata wakipewa elimu ya ujasilia mali hawata weza kujiajiri mana tatizo kubwa wanalo kumbana nalo ni mtaji je huu mtaji wataupata wapi ma masharti ya kukopa benki mpaka uwe na mali zisizo hamishika au mdhamini yaani mwajiri vigezo vyote hapo hawana na wamesoma kwa shida unawashauri...
  10. R

    Hii ni aibu UDOM

    Are u sure mbona college of Education wanachapwa mapindi kama SUA japo si kivile
  11. R

    Nini sababu ya watoto wa maskini kutoendelea na elimu ya chuo kikuu?

    Sio wote wanakosa mikopo ila watoto wa masikini wakosapo mkopo ndoto zao huzikwa 1@1 lkn tajiri akikosa huendelea na elimu kwani kulipa anaweza ila wanataka ku2mia haki za walalahoi kujifaidisha
  12. R

    What kind of life is this!

    Business not Good
  13. R

    Nini sababu ya watoto wa maskini kutoendelea na elimu ya chuo kikuu?

    Kwa uchunguzi mdogo uliofanyika watoto wa maskini hufanya vizuri katika mitihani ya kidato cha nne na sita.Lakini asilimia kubwa hawaendelei na elimu ya chuo kikuu na hii imetokana na kuwa asilimia kubwa hunyimwa mkopo toka bodi ya mikopo ya elimu ya juu mfano mtoto mmoja wa maskini ameshindwa...
  14. R

    Vodacom yakabidhi bil. 8/- kwa JK

    Kwa voda ni jambo la maana kwani wameamua kuwasaidia Watanzania ni siyo kwa nia ya kumwingiza Dr Slaa ktk ufisadi 2najua ni shujaa,jasiri, na mwenye maamzi ya busara 2naamini ataendelea na msimamo wake Jasiri haachi asili
  15. R

    Cheka hadi ufe!!!!!!!!!!!

    Huyu kama ni mwalimu alyesoma na ana taaluma ya ualimu ilibidi apelekwe Mirembe Au Marumba akachekiwe kama akili ni nzuri au ina virus ili wamscan au kumformati akili yake ili aondokane na dhana potofu ya UMALAYA kichwani mwake awaze somo la Kiswahili co NGONO kama anavyo mponda CHOMA mwanafunzi...
Back
Top Bottom