nngu007
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 15,860
- 5,803
Zile ziara za mikoani za Sekretarieti mpya ya CCM zimeishia wapi? Au ndio sasa wapo mkoa wa televisheni? Nadhani ililengwa hasa Arusha...
Hapana... Katibu Mkuu KINANA kapata safari ya ghafla kwenda HONG KONG