Recent content by RabidDog

  1. RabidDog

    JamiiForums Tanzania Uozo wa maafisa watendaji kata ya Olmoti jimbo la Arusha mjini mkoa wa Arusha

    Arusha mjini au mkoa wa Arusha? Olmot na Nafco zipo Wilaya ya Monduli (Kata ya Lolkisale mkuu.....
  2. RabidDog

    JamiiForums Tanzania Uozo wa maafisa watendaji kata ya Olmoti jimbo la Arusha mjini mkoa wa Arusha

    Habari hii haijakamilika na kimsingi fanya utafiti vizuri ili uweze kueleweka na wasomaji wengine! Kwa mfano kichwa cha habari kinasema Arusha mjini, sasa Olmoti au NAFCO ipi iko Arusha mjini? Hadithi yako inafanana na eneo fulani linaloitwa Lolkisale (ambayo ndio kata) na Nafco na Olmoti ni...
  3. RabidDog

    JamiiForums Tanzania Kaka Zetu kwa hili mnatuangusha wadogo zenu!!

    Gnassingbe, jibu langu kwako kama mmoja wa baba zako, napenda kukuuliza, hivi hao mama zako wangekuwa bize wewe ungepatikana? Tulioa hao kwa faida yenu....
  4. RabidDog

    JamiiForums Tanzania Pigo Takatifu kwa Trump/US uko UN

    Trump eti akate hiyo hela ya misaada? Kwani watu wake si wanapata ajira kwa hiyo misaada au hao wanokuja nayo huwa sio hiyo misaada ndio inawalipa? US will have to re-visit the decision.
  5. RabidDog

    JamiiForums Tanzania Hali ya wananchi katika wilaya ya Ngorongoro ni mbaya hususani wamasai

    Karne....Your signature states it loudly......It's much easier to educate the uneducated than to re-educate the mis-educated (Karne)!!
  6. RabidDog

    JamiiForums Tanzania Nimetumiwa ujumbe wa kitapeli

    Ujumbe huo umeshatumwa kwangu mara tatu, cha kushangaza sijawehai kuwasiliana au kumwombea mtu kitu kama hicho, ila all the time nimempotezea tu maana nilijua ni uhuni na utapeli
  7. RabidDog

    JamiiForums Tanzania Kama hujawahi kusoma Vitabu hivi Basi hujui utamu wa vitabu

    Bila Kusahau "Aliyeonja Pepo"......
  8. RabidDog

    JamiiForums Tanzania Mjikumbushe Mzumbe High School

    Bubu Msemaovyo ...You have made my day! Leo ujasema ovyo! By the way, jina lako na unayoyasema hayaendani! Good memories are good things to cherish, najua HuXiang yapo yaliyokupata hata hataki kusikia majina kama bonge la mwanasoka wa enzi hizo na mwanasheria mzuri wa leo 'James Mbwana' au...
  9. RabidDog

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Nguli Mshana Jr Yapatwa na hitilafu

    Bujibuji anatakiwa kuripoti kituo cha pol Ice kwa kuwa na dalili za kutumia dawa za malaria hivyo kalewa
  10. RabidDog

    JamiiForums Tanzania Describe and explain anything about HIm/HEr

    Daby, I can't you....Seriously uko juu! Leo kidogo siku imekuwa nzito na kiza kilitanda kitika mood na everything kwangu (toka asubuhi) ,,Ila sasa kwa narratives zako umenifuraisha..Bravo! Lbda Asprin au Shunie wawe na yao...
  11. RabidDog

    JamiiForums Tanzania Uvumilivu unanishinda, nashindwa kutunza usichana wangu

    Nenda shule kwanza...wenzako hatutaki wanaoanza kujifunza....utakuja kuiliza hiiyo ndio nini!!! lol
  12. RabidDog

    JamiiForums Tanzania Dr. Mollel amshukia tena Waziri wa Afya Ummy Mwalimu

    Yehodaya JF expert member....ni vema kuelewa mada ili uweze kuchangia! Suala la Umasai na ukosefu wa dawa vinahusianaje? ...
  13. RabidDog

    JamiiForums Tanzania Here is USA army force Vs RUSSIA army force

    ;)
  14. RabidDog

    JamiiForums Tanzania Hizi Sunglasses Ni Za Bei Mbaya

    Sun au moon glasses? Wewe si useme tu Chiuno na nyonyo zimekuzingua!....
Back
Top Bottom