Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,647
- 75,837
Niaje wana chit-chat jukwaa limepoa saana siku hizi. Sijui promo za politicians au sijui pesa za bundle zimekata. Ok haya poa tu. Tutafanyaje bhana.
Leo tunafanya hivi unawachukua member wawili hapa jf wadadavue.. waelezee jinsi walivyo na unavyohisi walivyo nje na ndani ya JF. Hii ni njia ya kujenga urafiki lakini pia ukikosea ukamdescribe mtu vibaya utachezea vitasa na hiyo itakuwa ni juu yako.
Binafsi....nitaanza na hawa watu