Recent content by Quezon

  1. Q

    JamiiForums Tanzania Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

    ALkalo8MAF₩!PA8O!KAlzmAlpM[emoji17] [emoji25] OplOaK!(81 ((?(
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Ushauri wako kidogo

    Kijana fanya mara hii kuwekea vipaumbele moja ama zote kwa pamoja kozi zifuatazo (i) BSc. Industrial Engineering Management au /na (iii) BSc. Productiona and Operations Management za chuo Mzumbe Chuo Kikuu.
  3. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania King'amzi kipi kizuri kwa hapa Tanzania

    Habarini wanajukwaa nina ufahamu kuwa mada kama niliyoitaja hapo juu imekwisha jadiliwa. kwa ambaye ataweza kuniunganishia thread zilizopita nitamshukuru sana. ninataka kuachana na kile king'amuzi cha kwanza kufika...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kufungua kampuni

    Habari yako mkuu, nadhani Engineers Registration Board utakuwa unapafahamu, mkabala(opposite, kama utashidwa kufika ulizia ERB watakuelekeza) yake kuna jengo linalohusiana na usajili wa kampuni zakikandarasi kama ambayo unataka kuianzisha( specifically registaration of mechanical contractors)...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Kumbe wazaramo wamelowea

    Kama ilivyo kawaida, makabila mengi yalipewa majina ya makabila yao na watu wengine.Wenyeji wa Mkoa wa Pwani na Jiji la Dar es Salaam, yaani Wazaramo walipewa jina hilo na ndugu zao Waluguru! Mambo yalianza vipi? "Eneo ambao leo linajumuisha Mkoa wa Pwani lilikuwa likikaliwa na watu wa kabila...
  6. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania mspada namna ya kutumia Operamini

    Habari zenu wakuu!! kabla sinaenda kwenye mada husika, ninatunguliza swali langu, nime-update operamini yangu ya zamani na sasa ninaitumia mpya. shida inakuja pale ambapo ninashindwa ku-save pages zangu ili kuweza kuzisoma nikiwa offline. kwa yeyote ambaye anaweza kutupa maelekezo ya namna ya...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania BLUEBAND imeniletea kauvimbe maeneo ya sehemu siri msaada

    nenda kanunue sabuni aina ya zoa zoa au tetmosol vitakwisha mara.
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Yupi mkweli kati ya hawa marais?

    watu wanaojua mara nyingi huwa hawana makuu, mchoraji amefanya kuwanyenyekeza kimavazi.
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Plate number mpya za bodaboda

    Habarini wana jukwaa? husikeni na kichwa cha habari hapo juu, deadline, utaratibu pamoja na gharama ya kubadilisha plate namba za pikipiki TRA zenye mfumo namba wa zamani, kwa mfano T 174 ABC na kwenda namba mpya zenye kuanzia na MC 123 ABC. nawakilisha.
  10. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bado nitampenda mke wangu hata kama kashagongwa

    your too soft brother! daaah! yaani unamuacha hivi hivi tu??
  11. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku ya birthday yangu

    Happy Birthday Billie.
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

    uwe na tabia ya kunywa juice ua ukwaju mkuu wandai huwa inasaidia regulating amount of blood sugar mwilini. madokta watakuja kwa kukushauri kitaalumu zaidi.
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Nimeitwa UNV

    United Nations Volunteers (UNV) ni kujitolea, hayo maslahi uayoyahitaji hayaendani kabisa na kupenda kujitolea.
  14. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa huawei y300 kutofungua picha

    kama savings za download zako zinaingia kwenye internal storage huwa inakuwa hivyo, kwani space yake inawahi kujaa, fanya memory card yako kuwa ndiyo default storage hilo tatizo litakwisha.
  15. Q

    JamiiForums Tanzania How many square?

    zipo 35 squares!
Back
Top Bottom