How many square?

How many square?

Attachments

  • forty.jpg
    forty.jpg
    140.2 KB · Views: 77
hakuna square hata moja.
ili umbo liwe square inabidi pande zote ziwe sawa. kwa kuangalia unaweza ukaona zote ziko sawa lakini kivipimo hatuwezi kuthibitisha hilo unless ungeweka alama za kuonyesha kuwa sides zinalingana .
 
Hatuwezi kuprove kama kuna squares hapo coz hamna dimensions. Kama kungekuwa na dimensions basi zipo squares nyingi sana. Nona 34 squares
 
Back
Top Bottom