Recent content by QueenBee

  1. QueenBee

    Nape: Lowassa kapoteza sifa ya kugombea

    Mzee Mangula amepoteza Network. Ameshindwa kujibu MAPIGO ya CHADEMA anahangaika na LOWASSA. Aache press conference za Makundi. Kwani naye Ana KUNDI lake. Mzee vipi. Hisani ya JK unaitumia vibaya. RUDI Njombe ukalime viazi vya chips.
  2. QueenBee

    Nape: Lowassa kapoteza sifa ya kugombea

    Nape na Sitta HAWA ni CCJ. WAACHE WAROPOKE"
  3. QueenBee

    Mangula: Lowassa bora uondoke kuliko kuivuruga CCM

    Jamani Huyu Mangula si ndiye aliyepeleka File Kubwa Eti lenye Madhambi na KUMUUA Kikwete 2005, ILI Kikwete asipitishwe kugombea Urais. Mzee Huyu mlima nyanya Kweli ni mtu aw Chuki. HAKOMI. NAPE naye Huyu ni CCJ yupo pale kwa Hisani ya Marehemu baba yake. HATA na Akina CCJ wakiongozwa na mzee...
  4. QueenBee

    Mangula: Lowassa bora uondoke kuliko kuivuruga CCM

    Jamani Huyu Mangula si ndiye aliyepeleka File Kubwa Eti lenye Madhambi na KUMUUA Kikwete 2005, ILI Kikwete asipitishwe kugombea Urais. Mzee Huyu mlima nyanya Kweli ni mtu aw Chuki. HAKOMI. NAPE naye Huyu ni CCJ yupo pale kwa Hisani ya Marehemu baba yake. HATA na Akina CCJ wakiongozwa na mzee...
  5. QueenBee

    Edward Ngoyai Lowassa; Huu ni waraka wangu kwako na kwa watanzania wenzangu

    Jamani Mbona mnahangaika. HAKUNA UBISHI, EL in Rais ajae. Msimzushie ujinga. YEYE Yuko nje ya SERIKALI, mna lia lia nini? Yes uamuzi mgumu ni Ule EL alipojiuzuru ku-save AIBU ya SERIKALI. Iliyotengenezwa na Sitta na MWAKYEMBE. Waambieni waliowatuma waache KUPIGA MAYOWE. Woga. Wa nini?
  6. QueenBee

    Uru-Moshi wapata barabara ya lami kwa msukumo wa CHADEMA

    HAYA nendeni mkaandamane kwenye BARABARA ya CCM.
  7. QueenBee

    CHADEMA mnamkomboa nani?

    Hawa jamaa wamechoka Amani. CHA ajabu wanaotaka kukombolewa karibu Wote Wasomi Wazuri waliosomeshwa na CCM kwa upendeleo waKikanda. Wamesoma bure, sasa hawapati Ma BOOM ndiyo HASIRA inawafanya watafute majibu rahisi kwa maswala magumu. Fanyeni kazi! Acheni kuchagua shughuli za kufanya? Babu ZAO...
  8. QueenBee

    Prime ministers Sumaye miaka 12 vs Lowassa miaka 2 nani mzoefu?

    SUMAYE ANATAKA NNI SASA. MIAKA 10 ya U-PM. Alifanya nini. Mbona alijitajirisha sana. Alimtumia shemeji yake Bw. KEENJA kutumia makusanyo ya Kodi za JIJ LA DSM na kumjengea majumba huko KibaHa na kwingine. Amenunua mashamba MAKUBWA Kila kona ya nchi. Huyu ni MBINAFSI. Wakati wake alijenga...
  9. QueenBee

    Akili Ndogo Kushindana na Akili Kubwa: Ona CV ya Mbunge Lema na CV ya Zitto!!

    Big up son. Thread zenye ukweli Huwa zinamkera huyo Porojo na wenziwe. Nakuaminia keep it up. HAWA WAKIGUSWA KIDOGO WANALIA Lia.
  10. QueenBee

    Lowassa: Kiongozi na wananchi wote wanalalamika

    Big up MY PRESIDENT. Unatosha na huna mpinzani
  11. QueenBee

    CCM ni Lazima Tuwe Accomodative Kwenye Katiba Mpya

    Nakubaliana na William. Kwa hili la Katiba CCM tusiendelee na kung'ang'ania Ya mwaka 47 na kukataa mabadiliko katika KATIBA AMA sivyo CCM itazikwa na SERIKALI zake Mbili. Hii 21st century ni ya majadilano na makubalano. Wana CCM wasidanganywe na waraka. Watumie bongo ZAO. Hongera kijana wa...
  12. QueenBee

    Ninachojifunza uchaguzi wa Arusha kwa faida ya walioshindwa

    KWA CHAGUZI ZA KIBABE. ITABIDI WANAWAKE NA WAZEE WAWEKEWE VITUO VYAO VYA KUPIGIA KURA MBALI NA VIJANA. AMA SIVYO WATAOGOPA KUTOKA KAMA ILIVYOTOKEA ARUSHA. CHADEMA IMECHAULIWA NA NA WAPIGA KURA KIDUCHU. KATI YA WAPIGA KURA 60.000 waliojitokeza ni WAPIGA KURA 9800 tu. CCM WAMUONDOE PALE ARUSHA...
  13. QueenBee

    Mwigulu atawaponza wengi!

    NAULIZA HIVI LILE KUNDI LA WABUNGE WA CCM WALIOJULIKANA KAMA WAPAMBANAJI WA IFISADI WAMEFIA WAPI? Mbona wamepata kigugumizi CHA longolongo Yao ya RICHMOND, DOWANS NA SASA SYMBION. Jamani kulikoni. SITTA,MWAKYEMBE, na wenzao. Sasa wamenyoosha mikono kwa mchumi mahiri Mh. ZITTO KABWE. MWAKYEMBE...
  14. QueenBee

    Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) Wataka Lowassa agombee urais 2015

    Vipi JF mnashindwa kuhimili critics. FUTENI lakini Huo ndiyo ukweli. NA KWELI INAUMA
  15. QueenBee

    Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) Wataka Lowassa agombee urais 2015

    ACHENI PROPAGANDA NYEUSI. LOWASSA ndiye Rais Ajae. UDOM ni wajibu awmuenzi EL . YEYE ndiye aliyekuja na WAZO la kuanzisha UDOM ILI kupokeawnafunzi wahitimu aw Secondary za Kata. AMA KWELI NIMEAMINI JF IN CHADEMA WATUPU. ROPOKENI TU
Back
Top Bottom