CHADEMA mnamkomboa nani?

CHADEMA mnamkomboa nani?

Piliton yawezekana una chuki na cdm japo mie si mwana cdm.Hakuna sentesi ya kuiona cdm Haifa wakati wewe hujasema nini hasa kikufa nyacho ukione hakifai?.Siku nyingine uwe una a dika mawazo mema ili tutafakari kwa undani pamoja

Usione aibu kusema upo chadema. Ni chama chako, mbona unakikanaa..hahahaa yan sikuiz wtu wanaona hay hata kusem wao ni chadema.
 
Acha uzezeta wako wa kuandika pumba.
 
Hiki chama kila siku kinajipambanua kuwa kipo kwa ajili cha kumkomboa mtanzania.Hii ni fedheha kubwa kwa umma wa tanzania na asiyekifahamu vizuri hiki chama ni wa kuonea huruma sana sana.Chama hiki kina wenyewe na ni kama biashara tu kama biashara zingine, cha ajabu sana watu tunaowaita eti wasomi kama akina kitila mkumbo nao wamekubali kuingia ktk mtego huu wa ajabu! Nikiambiwa kuchagua kati ya shetani na chadema,bora shetani kuliko chadema chama hatari kwa mustakabali wa Tanzania

ccm ni chama cha wabakaji. wazazi wanaficha watoto wao msije mkawaambukiza ukimwi
 
Hiki chama kila siku kinajipambanua kuwa kipo kwa ajili cha kumkomboa mtanzania.Hii ni fedheha kubwa kwa umma wa tanzania na asiyekifahamu vizuri hiki chama ni wa kuonea huruma sana sana.Chama hiki kina wenyewe na ni kama biashara tu kama biashara zingine, cha ajabu sana watu tunaowaita eti wasomi kama akina kitila mkumbo nao wamekubali kuingia ktk mtego huu wa ajabu! Nikiambiwa kuchagua kati ya shetani na chadema,bora shetani kuliko chadema chama hatari kwa mustakabali wa Tanzania
Kweli Cdm inawanyima usingizi, asubuhi yote hii. Is not bad umeshaingiza siku mapema.(buku 7)
 
Chadema is dead

mtasubiri sana,watanzania wamechoshwa na chama cha mafisadi,wauza unga,majangili,wabakaji,wauaji na wang'oa kucha na meno bila ganzi,wala rushwa, wachawi(chenge bungeni)na kila aina ya uchafu.
 
Hiki chama kila siku kinajipambanua kuwa kipo kwa ajili cha kumkomboa mtanzania.Hii ni fedheha kubwa kwa umma wa tanzania na asiyekifahamu vizuri hiki chama ni wa kuonea huruma sana sana.Chama hiki kina wenyewe na ni kama biashara tu kama biashara zingine, cha ajabu sana watu tunaowaita eti wasomi kama akina kitila mkumbo nao wamekubali kuingia ktk mtego huu wa ajabu! Nikiambiwa kuchagua kati ya shetani na chadema,bora shetani kuliko chadema chama hatari kwa mustakabali wa Tanzania

Ahh si ndo maana uehagua kuwa na shtani anayenyonyadamu ya watanzania wewe, na jzi siulimsikia kiongozi waashetani pale Karimjee alivyosema ameoneshwa pepo la maaji amara kwa mara
 
Ccm ni giza, cdm ni mwanga, giza hali wezi kuondoa giza ,ila mwanga waweza kuondoa giza. Tukitaka mabadiliko ya kweli tuikatae ccm
 
Hiki chama kila siku kinajipambanua kuwa kipo kwa ajili cha kumkomboa mtanzania.Hii ni fedheha kubwa kwa umma wa tanzania na asiyekifahamu vizuri hiki chama ni wa kuonea huruma sana sana.Chama hiki kina wenyewe na ni kama biashara tu kama biashara zingine, cha ajabu sana watu tunaowaita eti wasomi kama akina kitila mkumbo nao wamekubali kuingia ktk mtego huu wa ajabu! Nikiambiwa kuchagua kati ya shetani na chadema,bora shetani kuliko chadema chama hatari kwa mustakabali wa Tanzania

Kinamkomboa mama yako,
Wacha nipite zangu nisije nikapata ban bure. Mijitu mingine inakera sana
 
Utasikia wa Tz ni watu wema sana, lakini ukisoma baadhi ya meseji unaweza jua mioyo na akili za wa Tz zilivyo. Wakati tunaendelea kutupiana maneno ya kashfa na matusi, wenzetu wanaondoka na madini yetu, pembe za ndovu wetu, sasa wanakuja kuchukua gesi yetu; elimu mbovu, ujambazi, rushwa na wizi ndo usiseme; ninachojua Tanzania inahitaji mkombozi, ila sijui ni nani na atatoka wapi!
 
Hiki chama kila siku kinajipambanua kuwa kipo kwa ajili cha kumkomboa mtanzania.Hii ni fedheha kubwa kwa umma wa tanzania na asiyekifahamu vizuri hiki chama ni wa kuonea huruma sana sana.Chama hiki kina wenyewe na ni kama biashara tu kama biashara zingine, cha ajabu sana watu tunaowaita eti wasomi kama akina kitila mkumbo nao wamekubali kuingia ktk mtego huu wa ajabu! Nikiambiwa kuchagua kati ya shetani na chadema,bora shetani kuliko chadema chama hatari kwa mustakabali wa Tanzania

wew n mzandiki,mnafki,taahira,kilaza,mwendawazimu usiyekuw na akilii coz akili yako ni ndogo kama jina lako,tunamkomboa kichaa kama wewe uliyekosa mwelekeo wa maisha
 
Kweli unaweza kutupa hayo majanga? kwani hakuchaguliwa kwa DEMOKRASIA ya kweli kuwa MBUNGE? Au unataka kusema MABOMU ya ARUSHA ya MIKUTANO ya CHADEMA ?

Hapo ndipo invyoonyesha ufinyi wa uelewa wa baadhi ya watanganyika kuhusu DEMOCRASIA: na Unaishi nchi inayofuata Demokrasia, lakini nchini kwako unaona ni kama vile MAJANGA… <sasa majanga ni yapi hayo??

Unaweza kuyataja?

Au in basi tu chuki zilizoko <moyoni hata kama kizuri kikitendeka kwako bado sababu unamchukia aliyetenda ni MAJANGA?

Fata link: LUCY PATRICK WATZ: HIKI NI KIPINDI AMBAPO KATIBU MKUU WA CHADEMA SIKU ALIPOKUWA ANAKULA KIAPO CHA MUNGU CHA KUWA PADRI MILELE.

Majanga.
 
Hiki chama kila siku kinajipambanua kuwa kipo kwa ajili cha kumkomboa mtanzania.Hii ni fedheha kubwa kwa umma wa tanzania na asiyekifahamu vizuri hiki chama ni wa kuonea huruma sana sana.Chama hiki kina wenyewe na ni kama biashara tu kama biashara zingine, cha ajabu sana watu tunaowaita eti wasomi kama akina kitila mkumbo nao wamekubali kuingia ktk mtego huu wa ajabu! Nikiambiwa kuchagua kati ya shetani na chadema,bora shetani kuliko chadema chama hatari kwa mustakabali wa Tanzania

We kama umeme mlongo kachukua na huna cha kufanya tafuta hata karatas uanze kuandika aeiou sio kuandika thrd za kukupotezea muda wakat unasubir wazit wako mlongo awashe
 
Kukukomboa wewe
Hiki chama kila siku kinajipambanua kuwa kipo kwa ajili cha kumkomboa mtanzania.Hii ni fedheha kubwa kwa umma wa tanzania na asiyekifahamu vizuri hiki chama ni wa kuonea huruma sana sana.Chama hiki kina wenyewe na ni kama biashara tu kama biashara zingine, cha ajabu sana watu tunaowaita eti wasomi kama akina kitila mkumbo nao wamekubali kuingia ktk mtego huu wa ajabu! Nikiambiwa kuchagua kati ya shetani na chadema,bora shetani kuliko chadema chama hatari kwa mustakabali wa Tanzania
 
kukombolewa na LEMA mungu atunusuru .... ila mleta mada kidogo haujajipanga vizuri...! hebu mwaga data basi tuone uhalisia wa hoja zako !
 
Chadema is dead

Hawa jamaa wamechoka Amani. CHA ajabu wanaotaka kukombolewa karibu Wote Wasomi Wazuri waliosomeshwa na CCM kwa upendeleo waKikanda. Wamesoma bure, sasa hawapati Ma BOOM ndiyo HASIRA inawafanya watafute majibu rahisi kwa maswala magumu. Fanyeni kazi! Acheni kuchagua shughuli za kufanya? Babu ZAO na familia ZAO wote Wana ma- Degree waliyo pata kutoka University Mbili tu zilizokuwepo wakati Ule. Sasa Tanzania yetu Ina University zaidi ya 50 wao wanataka kuleta fujo ILI na Sisi makabila Madogo ambao tuliminywa sana TUSISOME. Hakuna CHA ukombozi hapa ni UBINAFSI WAO TU.
 
Back
Top Bottom