Thanks for your reply
Actually tangu nimemaliza Bachelor I was on the job (Software Engineering) for 5 years now paid more than that salary you are talking about. Na hata nilivyokuwa nasoma abroad nilikuwa naendelea kulipwa salary na bado ni mwajiriwa ila kuna nafasi za kazi zinazotoka za Data...
Thanks for your reply
Kuhusu experience baada ya kumaliza Bachelor nimefanya kazi miaka 5 kwa software development ndio nikaenda kusoma Masters. Nilikuwa nazungumzia experience ya Data Analysis
Mfano kwenye tangazo la ajira linataka Data Analyst ila kwenye qualification wameandika Bachelor degree ila mimi nina Masters
Je, nitakuwa disqualified kwa ku orodhesha kuwa ngazi yangu kubwa ya elimu ni Masters au katika kufanya maombi nisiseme kuwa nina Masters nionyeshe tu nina Bachelor...
Mi nilianza degree nikiwa sijui any programming language lakini hadi leo nimetengeneza mifumo ambayo ina process millions of transactions per month na mifumo inatumika nchi nzima
Sio muda wote ni kwa vipindi kadhaa labda sehemu ipo fresh na sheria za barabara zinaruhusu basi ndani ya dk 5 unakuwa kwenye hiyo speed. Speedometer inasoma hadi mwisho
Naomba kujua makadirio ya gharama za kufanya finishing chumba kimoja
Vitu vya kufanya
Rough Floor
Mlango wa mbao
Mlango wa Alminium kwa ajili ya toilet
Plaster
Skimming
Blandering
Gypsum board
Rangi
Tiles chumbani
Tiles toilet - juu na ukutano (toilet ina ukubwa wa 2.5m x 2.7m)
Choo cha kukaa...
Kuna dawa nilipewa hospitali (dawa ya kutibu brucellosis), dozi ya mwezi mzima, nilivyokuwa naitumia kama wiki ya pili hivi nikaanza ku experience ringing noise kwenye masikio yote.
Nikajua ni dawa tu nikimaliza dozi hiyo hali itaisha. Ila baada ya kumaliza dozi wapi hiyo hali haikuisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.