Recent content by Qatesh

  1. Q

    JamiiForums Tanzania Full Text: Hotuba ya Wizara ya Fedha 2015/2016

    nafikiri kichaa kimekupanda
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Dr. Kimei wa CRDB: Kuporomoka kwa shilingi kuna faida kubwa kwa Watanzania

    ujue ni wazi kuwa vichaa wanaongezeka siku hadi siku suala la uelewa wa mtu msilete kwenye chama kwani huo ni uelewa wake na hata hivyo kwa sasa bado hatujaona wa kushindana na ccm
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Dr. Slaa,the greatest combination!

    mbona hamueleweki kubali msikubali ccm km kw madarakani october mwaka huu au cy makamanda
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Dr. Slaa,the greatest combination!

    huo ni ukweli na majibu ni mwezi wa 10 acha ushabiki
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Mtanzania : Unashabikiaje chama ambacho hakina sera?

    huo ni ukweli chadema ni chama cha vurugu tena watu wa kuhadaa wananchi hata hivyo kwa sasa hakuna chama kinachoonekana kumuda uongoz wa nchi hii zaidi ya ccm
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Kwa akili ndogo na nyepesi, CCM haiponi! Nape na Mwigulu jibuni haya...

    wajinga ni wengi mno na ww ni mojawapo ni serikali ipi unafikiri inaweza labda ya malaika na hiyo haiwezekani mwaka huu iwe iwavyo ccm hiyo madarakani
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Dr. Slaa,the greatest combination!

    mbona mnatoka nje ya mada hivi ikitokea ccm imechukua urais mwezi wa kumi tareh 30 mwaka huu itakuwaje ila sishangai kwani kwenye kitongoji changu chadadema ilishinda wiki kabla ya uchaguzi hatima tukawacharaza tatu bila
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Kama Lowassa kama Pinda

    . e bwana wabishi ni wengi mno ila kuna bwana alisema majibu baada ya mtihani hivyo wakiwa wamekodoa macho watamwona lowasa ikulu sijui siku watasemaje kazi kwenu mazee
  9. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ingekuwa wewe ungefanyaje?

    sasa ukifumua kikojoleo atazaa na nn wakati bado tuna mtt moja tu ndo tuna mpango wa mtt wa pili
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Wenye mpango wa kwenda huu mji chukueni tahadhari

    ni kwamba mapene yameboreshw au ni kitu gn haswa
  11. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepoteza ndoa tatu kisa mtoto , njoo umchukue, ntakuja kumtembelea kwako

    kwanza usiweke mwanaume mbele kuliko mtt wako kwani hata ukiolewa huyo mwanaume atakaye kuoa atakutukana na huyo mtt mpk ndoa itakuwa chungu jipange kimaisha hayo mengine ni matokeo
  12. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada haraka

    hakuna kuachwa mtu hapa km una ndoa kamili kanisani na cheti kasain mke moja hiyo imekula kwake km vip akutunze na mtt wako mpk mwisho wa safar
  13. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wale wachepukaji tu

    nafikiri tatizo ni tamaa 2 na c vinginevyo hata hivyo kila moja ahakikishe mwenza wake kafurahia tendo kila wafanyapo mpnz ili kuepuka malalamiko yasiyo ya msingi
  14. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Changamoto za ulinzi wa usiku

    dah maumivu matupu yani viazi bila maji
  15. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wa kichaga kuja hapa ! pangeni foleni niwafundishe fashion

    hahahahahahahahaha
Back
Top Bottom