Mtanzania : Unashabikiaje chama ambacho hakina sera?

Mtanzania : Unashabikiaje chama ambacho hakina sera?

Mfa maji wewe. Una maana we ukishindwa kuelewa sera ya chama fulani wote hawaelewi. Huu ni zana mpya watu watalalamika sana bado jua halitasimama.
 
Chadema washazoea Vurugu,maandamano,kukimbizana hawana sera yoyote zaidi ya kujenga viwanda vya gongo na mbege
 
mfano chadema hawana sera yoyote zaidi ya vurugu na maandamano

katiba mpya na Elimu bure zilikuwa sera za chama gani????Hebu for once jaribu kuwa neutral na uondoe upofu ulionao sababu ya mapenzi yako kwa ccm.Hizi ndio zile akili alizosema Msigwa,za kuambiwa zenu mmeweka mifukoni.
 
Back
Top Bottom