Kama Lowassa kama Pinda

Kama Lowassa kama Pinda

MKEHA

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
716
Reaction score
1,144
Nikiwa shabiki mkubwa na mnazi wa Arsenal nilikua nikiumia sana kipindi Drogba akiwa kwenye form kwani kila Arsenal ilipokutana na Chelsea tulichezea kichapo na hapo goli la Drogba halikukosa kabisa.

Nakumbuka katika mechi 12 alizocheza against na Arsenal alitufunga magoli 11 toka mguuni mwake.

Nilitokea kumchukia sana lakini baadae nikaujua ukweli kwamba najiumiza bure kwani uwezo wa Drogba ulikua mkubwa sana hivyo sikua na haja ya kuendeleza chuki yangu kwake na baadae nikaanza kumpenda bila kutaka.

Tulianza kuwafunga Chelsea baada ya Morinho na Drogba kuondoka pale daraajani. Nimetoa kisa hiki kujenga hoja juu ya uwezo wa Lowassa na Pinda. Lowassa alilazimika kujiudhuru uwaziri mkuu kwa shindikizo la bunge baada ya kuonekana kwamba mawaziri waliokua chini yake hawakuwajibika kisawa sawa mpaka kupelekea taifa kupata hasara.

Japo ripoti ile ya Mwakiembe haikumutia hatiani moja kwa moja Lowasa kama mhusika mkuu lakini walimpa option ya kupima mwenyewe kama anafaa kuendelea kuwa kwenye ofisi ile na mwisho wake kweli aka step down.

Naendelea kumshangaa Pinda kana kwamba haoni mood ya Watanzania anaendelea kung'ang'ania ofisi kana kwamba hakuna lililotokea kabisa.

Hili linachangiwa zaidi na watu wanao muunga mkono Pinda kwenye mbio zao za urais wakisema kwamba kuna mkono wa Lowassa kwenye ripoti ya ESCROW ili Pinda aadabishwe na Lowassa apite kiulaini.

Huku ni kutokujua na kujifanya hawajui ukweli wa mambo jisi yanavyoenda hapa nchini. Lowassa jamani ana nguvu za ajabu kama kimbunga hata utafiti wa TWAWEZA umebainisha hilo.

Kuna watu wanaweza wakawa hawampendi Lowassa kwa sababu tu anawakosesha raha kwenye timu zao za urais kama ambavyo Drogba alivyonifanya kipindi kile lakini kutompenda kwangu hakukuisaidia Arsenal kuishinda Chelsea kwa roho mbaya yangu kwake mwishoni ilibidi nianze kumpenda kwa kujilazimisha kwa sababu ya uwezo wake.

Hivyo hivyo kwa wasiompenda Lowassa waanze kumpenda kwa kujilazimisha maana aweza kuwa rais wetu ajaye hata kama hatutaki.

Ni mtazamo wangu tu jamani nikiwa huku kijijini kwetu Muyama Buhigwe
 
sasa pinda hata bila ESCROW asingeshinda, sura inamkaba, Tanzania wapiga kura wengi ni kina mama, wao hawangalii sera maana wengi muda wa kusoma na kusikiliza hawana, wao hupiga tu vigelegele mwanzo mwisho, CCM kwa kutambua hilo tukamweka mr Tanzania, kijana mwenye sura ya kuvutia, akapita kwa asimilia themani na tano. Mara pili kijana alianza kuzeeka sura ikapoteza mvuto Mr tanzania akapata asilimia sitini hivi kama si chini ya hapo. CCM hatuwezi thubutu kumweka Pinda, tangazo utaweka picha gani? sisi kwetu ni ushindi tu, watu kama kina pinda na wasira watachaguliwa na watu wao huko huko majomboni waliozoea sura ngumu. Membe Mfupi, hawezi kuonekana, makamba hawezi kufumba mdomo. Nadhani lowasa hata kama ana kifafa atauzika tu kirahisi kwa kina mama wapenda sura, na ndio mtaji wetu. Ila asijaribu kuvaa ngo za kimasahi, maana masai huwa wanapiga kina mama bure wanagoma kulipa hii inaweza kumuodolea sifa.
 
Sitachangia hapa mpaka u-edit kwa kuweka paragraph kisomi kidogo, bye!
 
ila mengi tutayasikia kabla ya 2015
 
Nataka kutapika kusoma utumbo huu. Kama unampenda EL mchukue kanywe naye chai nyumbani kwako. Urais hapana. Tulikwisha sema mengi kuhusu huyu fisadi, kama umejiandaa kutoelewa somo basi utaelewa baada ya mtihani kufanyika.
Nikiwa shabiki mkubwa na mnazi wa Arsenal nilikua nikiumia sana kipindi Drogba akiwa kwenye form kwani kila Arsenal ilipokutana na Chelsea tulichezea kichapo na hapo goli la Drogba halikukosa kabisa. Nakumbuka katika mechi 12 alizocheza against na Arsenal alitufunga magoli 11 toka mguuni mwake. Nilitokea kumchukia sana lakini baadae nikaujua ukweli kwamba najiumiza bure kwani uwezo wa Drogba ulikua mkubwa sana hivyo sikua na haja ya kuendeleza chuki yangu kwake na baadae nikaanza kumpenda bila kutaka. Tulianza kuwafunga Chelsea baada ya Morinho na Drogba kuondoka pale daraajani. Nimetoa kisa hiki kujenga hoja juu ya uwezo wa Lowassa na Pinda. Lowassa alilazimika kujiudhuru uwaziri mkuu kwa shindikizo la bunge baada ya kuonekana kwamba mawaziri waliokua chini yake hawakuwajibika kisawa sawa mpaka kupelekea taifa kupata hasara. Japo ripoti ile ya Mwakiembe haikumutia hatiani moja kwa moja Lowasa kama mhusika mkuu lakini walimpa option ya kupima mwenyewe kama anafaa kuendelea kuwa kwenye ofisi ile na mwisho wake kweli aka step down. Naendelea kumshangaa Pinda kana kwamba haoni mood ya Watanzania anaendelea kung'ang'ania ofisi kana kwamba hakuna lililotokea kabisa. Hili linachangiwa zaidi na watu wanao muunga mkono Pinda kwenye mbio zao za urais wakisema kwamba kuna mkono wa Lowassa kwenye ripoti ya ESCROW ili Pinda aadabishwe na Lowassa apite kiulaini. Huku ni kutokujua na kujifanya hawajui ukweli wa mambo jisi yanavyoenda hapa nchini. Lowassa jamani ana nguvu za ajabu kama kimbunga hata utafiti wa TWAWEZA umebainisha hilo. Kuna watu wanaweza wakawa hawampendi Lowassa kwa sababu tu anawakosesha raha kwenye timu zao za urais kama ambavyo Drogba alivyonifanya kipindi kile lakini kutompenda kwangu hakukuisaidia Arsenal kuishinda Chelsea kwa roho mbaya yangu kwake mwishoni ilibidi nianze kumpenda kwa kujilazimisha kwa sababu ya uwezo wake. Hivyo hivyo kwa wasiompenda Lowassa waanze kumpenda kwa kujilazimisha maana aweza kuwa rais wetu ajaye hata kama hatutaki. Ni mtazamo wangu tu jamani nikiwa huku kijijini kwetu Muyama Buhigwe
 
Mtoa mada umechanganyikiwa, Watanzania wataachaje kumchagua mtu mwenye maadili kama Stephen Wassira wachague wtu wenye makandokando?
 
kumbe huu utumbo wote ni kwa ajili ya kumsafisha fisadi lowasa? pyuuuuuu

Nikiwa shabiki mkubwa na mnazi wa Arsenal nilikua nikiumia sana kipindi Drogba akiwa kwenye form kwani kila Arsenal ilipokutana na Chelsea tulichezea kichapo na hapo goli la Drogba halikukosa kabisa.

Nakumbuka katika mechi 12 alizocheza against na Arsenal alitufunga magoli 11 toka mguuni mwake.

Nilitokea kumchukia sana lakini baadae nikaujua ukweli kwamba najiumiza bure kwani uwezo wa Drogba ulikua mkubwa sana hivyo sikua na haja ya kuendeleza chuki yangu kwake na baadae nikaanza kumpenda bila kutaka.

Tulianza kuwafunga Chelsea baada ya Morinho na Drogba kuondoka pale daraajani. Nimetoa kisa hiki kujenga hoja juu ya uwezo wa Lowassa na Pinda. Lowassa alilazimika kujiudhuru uwaziri mkuu kwa shindikizo la bunge baada ya kuonekana kwamba mawaziri waliokua chini yake hawakuwajibika kisawa sawa mpaka kupelekea taifa kupata hasara.

Japo ripoti ile ya Mwakiembe haikumutia hatiani moja kwa moja Lowasa kama mhusika mkuu lakini walimpa option ya kupima mwenyewe kama anafaa kuendelea kuwa kwenye ofisi ile na mwisho wake kweli aka step down.

Naendelea kumshangaa Pinda kana kwamba haoni mood ya Watanzania anaendelea kung'ang'ania ofisi kana kwamba hakuna lililotokea kabisa.

Hili linachangiwa zaidi na watu wanao muunga mkono Pinda kwenye mbio zao za urais wakisema kwamba kuna mkono wa Lowassa kwenye ripoti ya ESCROW ili Pinda aadabishwe na Lowassa apite kiulaini.

Huku ni kutokujua na kujifanya hawajui ukweli wa mambo jisi yanavyoenda hapa nchini. Lowassa jamani ana nguvu za ajabu kama kimbunga hata utafiti wa TWAWEZA umebainisha hilo.

Kuna watu wanaweza wakawa hawampendi Lowassa kwa sababu tu anawakosesha raha kwenye timu zao za urais kama ambavyo Drogba alivyonifanya kipindi kile lakini kutompenda kwangu hakukuisaidia Arsenal kuishinda Chelsea kwa roho mbaya yangu kwake mwishoni ilibidi nianze kumpenda kwa kujilazimisha kwa sababu ya uwezo wake.

Hivyo hivyo kwa wasiompenda Lowassa waanze kumpenda kwa kujilazimisha maana aweza kuwa rais wetu ajaye hata kama hatutaki.

Ni mtazamo wangu tu jamani nikiwa huku kijijini kwetu Muyama Buhigwe
 
kumbe huu utumbo wote ni kwa ajili ya kumsafisha fisadi lowasa? pyuuuuuu
. e bwana wabishi ni wengi mno ila kuna bwana alisema majibu baada ya mtihani hivyo wakiwa wamekodoa macho watamwona lowasa ikulu sijui siku watasemaje kazi kwenu mazee
 
Back
Top Bottom