Changamoto za ulinzi wa usiku

Changamoto za ulinzi wa usiku

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
365,944
Reaction score
845,958
Uko lindoni mvua inapiga mdogomdogo-mvua ya mahaba, kuna kibaridi kinapuliza na mamimo umemwacha peke yake home, chumba chenu kimoja kinapakana na chumba cha msela, anayejipenda mno na kupenda kuweka nyimbo laini usiku mzima, unamfikiria demu wako alivyo mpweke halafu na msela chumba cha pili na miziki yake laini...! Utawaza mengi
 
halafu akiwa nyumbani dem wako hupenda kwenda kuomba movie za kibongo kwa jamaa, kibiriti na n.k
 
Kuna jamaa mlinzi wa magari kitaani kwetu ila anakaa mta wa mbali siku moja nilienda kwake kuchukua hela yangu saa 1 usiku, wacha nigonge kama dk 10 niko mlangoni jamaa kutoka nikagundua tu ametoka kumnyenya mkewe. Nadhani wananyenya mapema then wanaenda kazini
 
si afadhali aombe kuliko kumkuta geto kwa mshkaji wanaangalia pamoja
 
Kuna jamaa mlinzi wa magari kitaani kwetu ila anakaa mta wa mbali siku moja nilienda kwake kuchukua hela yangu saa 1 usiku, wacha nigonge kama dk 10 niko mlangoni jamaa kutoka nikagundua tu ametoka kumnyenya mkewe. Nadhani wananyenya mapema then wanaenda kazini

haina makombo ile kaka unagegeda kwa mungu ukienda job jamaa anapewa kwa shetani
 
Mbona hamsemi huyo aliyekuwepo lindoni huko nini kinaendelea? Wake zetu au akina dada zetu wanaolinda na polisi wanavyogegedana huko. Na baridi yote hiyo, nyie acheni masihara
 
nguvu ya uvutano hasi na chanya haviwekwi pamoja
 
Uko lindoni mvua inapiga mdogomdogo-mvua ya mahaba, kuna kibaridi kinapuliza na mamimo umemwacha peke yake home, chumba chenu kimoja kinapakana na chumba cha msela, anayejipenda mno na kupenda kuweka nyimbo laini usiku mzima, unamfikiria demu wako alivyo mpweke halafu na msela chumba cha pili na miziki yake laini...! Utawaza mengi

hizi stor zngine jaman tuziache hzo ndiyo husababisha wanaume kukimbia ndoa.... Hali ya maisha sasa hivi ya kuhangaika zaidi kuliko kukaa nyumban. Watu tunasafir tunawaacha wake zetu hata kwamda wa wiki moja. Sasa leo utatuletea ukweli kama huu wakat wanawake wenye wapo atention kwa kuvua vyupi mda wowote paspo kujali ni mke wa mtu akitaniwa kidogo tataka agongwe
 
Live bila chenga umetishaaaaa
 
Attachments

  • 1398842015702.jpg
    1398842015702.jpg
    9.7 KB · Views: 448
Uko lindoni mvua inapiga mdogomdogo-mvua ya mahaba, kuna kibaridi kinapuliza na mamimo umemwacha peke yake home, chumba chenu kimoja kinapakana na chumba cha msela, anayejipenda mno na kupenda kuweka nyimbo laini usiku mzima, unamfikiria demu wako alivyo mpweke halafu na msela chumba cha pili na miziki yake laini...! Utawaza mengi

Wacha tuu aisee. Nafikiri hilo ni moja kati hatari nyingi sana na majaribu yanayowazunguka wanandoa. Mimi nina mfano hai. Kuna siku nilisafiri kikazi kwena mbeya, kwa kweli kulikua na baridi sana. Tulikua pamoja na dada mmoja ameolewa na hata siku ya safari mme wake ndio alimshusha ofisini na makiss kibao. Ilikua ni project ya kama week tatu. Huwezi amini kuanzia siku ya tano mpaka tunaondoka yule dada alikua analala chumba kimoja na dogo mmoja tuliyekua naye project. Walianza kama kutanianiana tu, dogo alimwambia dada naniii hii baridi unaiona lakini. Ilikua ni baada ya chakula cha usiku. Niliwaacha nikaenda kulala kesho yake asubui naona dada anatoka chumba cha dogo. Iliniuma sana.
 
duuuh yani wewe mkuu natamani kujua unafanya kazi gani. maana unajiwaziaga vitu vingi sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom