Mbowe na Dr. Slaa,the greatest combination!

Mbowe na Dr. Slaa,the greatest combination!

Wao ni kazi tu...propaganda tupa kule. Umoja wao,uongozi wao na ubunifu wao ndiyo unaokusanya mafanikio ya CHADEMA yanayoendelea kuonekana. Ni kama Messi na Xavi. Hapana chezeya!

Mbowe na Dr. Slaa ni miiba mikali kwa chama tawala. Ndiyo maana kila aina ya hila,propaganda na uongo unaendelea kusemwa kuwasambaratisha. Na ubunifu na utayari wao wa kuwa sehemu ya UKAWA ni kitisho kwelikweli.

CHADEMA sasa imepiga hodi na kuitikiwa vijijini. Kilichobaki ni kujitangaza zaidi na kuelekeza nguvu mwakani. Kila chama cha upinzani duniani kilipitia njia ya CHADEMA kuelekea Ikulu na kuwa chama tawala.

CCM yaweza kuwa imeshinda kwa mahesabu ya jumla. Kuendelea kuporomoka kwa takwimu zao ni kitisho kisichoweza kupuuzwa nao.

Binafsi niliukubali uongozi wa Mbowe na Dr. Slaa siku CHADEMA walipoweka wagombea mitaa na vitongoji vya mkoa wa Pwani. Big up Mbowe na Dr. Slaa. Ishikeni UKAWA maana ni nguvu yenu.

Tatizo Mbowe na Slaa hawana nyota
 
Mbowe pamoja na dr slaa ndio viongozi wanaotakiwa hapa nchini
 
Hivi voucher ya pesa za kuwa motivate haija mature? Naona juhudi ya kuwatetea masters wenu kwa hoja imepungua sana!

I am self motivated bro kumbe nyie mnapata gawio la ruzuku sikujua hili asante. Kuna hoja na vihoja kusifia mtu kusafiri nje ilikuwa enzi za mwalimu. Slaa anatekeleza mkataba wake tu kwamba mbowee akienda nje na yeye lazima aende.
 
mbona hamueleweki kubali msikubali ccm km kw madarakani october mwaka huu au cy makamanda
 
Dr Slaa could not discuss the constitution in the parliament, he is discussing the same in US. CRAZY. He only wants to be heard by imperialist
 
Back
Top Bottom