Mbowe na Dr. Slaa,the greatest combination!

Mbowe na Dr. Slaa,the greatest combination!

na kwa jinsi walivyokuwa wakisafiria nyota ya wenzao kwa kweli sasa wataendelea kuwa too locl hivi umeona na sampuli ya watu wanaofuatana naye duh
 
Ngoja ni kukumbushe kuna kipindi Zitto aliwahi kujisifia kuwa yeye siasa zake ni za kimataifa akadiriki kuwaambia Slaa na Mbowe siasa zao ni za hapahapa tu yaani too local. Saa jana au juzibaada ya kusikia Slaa yuko marekani akitoa mihadhara yeye kageuka tena eti sasa hivi anajifanya yeye siasa zake ni za vijijini yaani eti anawaambia watu yeye atafanya mihadhara yake huko vijijini siyo marekani.

Zitto hana memory nzuri mara nyingi husema kitu baada ya muda anakuja kujicontradict yena mwenyewe. Kuna kipindi alisema hata gombea ubunge baadaye tena akataka, aliwahi kusema pia wanasiasa tusiwaamini halafu yeye anataka aaminiwe leo kuwa siyo msaliti.

Kimsingi kuna mambo mengi sana jamaa husema sijui kwa ajili ya kujipa ujiko tu kwa wakati fulani halafu baadaye anakuja kusema tena kinyume. Jamaa ni full mnafiki hana anachokisema kikatokea moyoni mwake he is just there to fool the foolish and get what he want at that time!
Full ubinafsi na uongo all the time!
nashukuru mkuu
 
Kweli tutaon amengi sana ktk hii nchi iliyo chini ya CCM..wendawazimu kwa kwenda mbele.Waliosema kwamba Dr.Slaa na Mbowe ni Too Local sasa, wao ndio wanataka hodhi kuwa wao ndio too local.Tutacheka sana mwaka huu..tutaona vichaa waliojificha ktk ustaarabu wakivaa chupi kichwani,tunashuhudia mitikisiko itakavyovua nguo vichaa,magaidi,wezi na wachawi wote..bahati mbaya n nzuri mawingu nayo yanaanza chomoza.lazima paka,vichaa na paka kujaa ktk vituo vyao vya afya.

Craaaaap!
 
Mimi nashangaa mabandiko ya huyu mkongwe mwenzangu. Amejiunga JF tangia 2006 bado tu hajajua kuwasiiana. Mwanzoni nilidhani ni under age lakini kwa kujiunga JF 2006 naondoa hiyo dhana. Kuna kingine zaidi ambacho nashindwa kukibaini. Labda kweli ni pro.
Zamani alikua anaongea fresh tu,au labda alishadead,akamwachia urithi wa ID mtoto wake nini?
 
ata mi cjamuelewa mtoa post anamaansha nn kumbe kushinda mitandaon ni shida wengne mtaanza kuandika kichina apa eb kuwa huru cm yako iyo
 
ata mi cjamuelewa mtoa post anamaansha nn kumbe kushinda mitandaon ni shida wengne mtaanza kuandika kichina apa eb kuwa huru cm yako iyo

Kwa akili zenu ndogo za Lumumba B7 mtaelewaje mambo makubwa kama Haya?
Vichwa vyenu havina uwezo wa kutunza kumbukumbu kama mwenzenu huyo kiongozi wa Wasalit.i au YUDA Iskarioti.
 
wanitume nini sasa wakati nyie US yenu ipo vijijini?

Nimecheka Sana hii slogan yao!!!

Hivi huyo mwehu hawezi anzisha vitu vipya mpaka atembee nyuma ya akina Dr. Slaa??

Marekani yake iko vijijini kwa dhana IPI?
 
100%,aliyemcheka mwenye kengeza kumbe yeye ana chongo.Tutaona mengi.
 
Ubarikiwe sana,nakutakia afya njema na maisha marefu mkuu.
Ngoja ni kukumbushe kuna kipindi Zitto aliwahi kujisifia kuwa yeye siasa zake ni za kimataifa akadiriki kuwaambia Slaa na Mbowe siasa zao ni za hapahapa tu yaani too local. Saa jana au juzibaada ya kusikia Slaa yuko marekani akitoa mihadhara yeye kageuka tena eti sasa hivi anajifanya yeye siasa zake ni za vijijini yaani eti anawaambia watu yeye atafanya mihadhara yake huko vijijini siyo marekani.

Zitto hana memory nzuri mara nyingi husema kitu baada ya muda anakuja kujicontradict yena mwenyewe. Kuna kipindi alisema hata gombea ubunge baadaye tena akataka, aliwahi kusema pia wanasiasa tusiwaamini halafu yeye anataka aaminiwe leo kuwa siyo msaliti.

Kimsingi kuna mambo mengi sana jamaa husema sijui kwa ajili ya kujipa ujiko tu kwa wakati fulani halafu baadaye anakuja kusema tena kinyume. Jamaa ni full mnafiki hana anachokisema kikatokea moyoni mwake he is just there to fool the foolish and get what he want at that time!
Full ubinafsi na uongo all the time!
 
Wao ni kazi tu...propaganda tupa kule. Umoja wao,uongozi wao na ubunifu wao ndiyo unaokusanya mafanikio ya CHADEMA yanayoendelea kuonekana. Ni kama Messi na Xavi. Hapana chezeya!

Mbowe na Dr. Slaa ni miiba mikali kwa chama tawala. Ndiyo maana kila aina ya hila,propaganda na uongo unaendelea kusemwa kuwasambaratisha. Na ubunifu na utayari wao wa kuwa sehemu ya UKAWA ni kitisho kwelikweli.

CHADEMA sasa imepiga hodi na kuitikiwa vijijini. Kilichobaki ni kujitangaza zaidi na kuelekeza nguvu mwakani. Kila chama cha upinzani duniani kilipitia njia ya CHADEMA kuelekea Ikulu na kuwa chama tawala.

CCM yaweza kuwa imeshinda kwa mahesabu ya jumla. Kuendelea kuporomoka kwa takwimu zao ni kitisho kisichoweza kupuuzwa nao.

Binafsi niliukubali uongozi wa Mbowe na Dr. Slaa siku CHADEMA walipoweka wagombea mitaa na vitongoji vya mkoa wa Pwani. Big up Mbowe na Dr. Slaa. Ishikeni UKAWA maana ni nguvu yenu.

hakuna ubunge wa viti maalum kwa wanaume, acha sifa zisizokuwa na mashiko kauze sera kwa wananchi.
 
Nimecheka Sana hii slogan yao!!! Hivi huyo mwehu hawezi anzisha vitu vipya mpaka atembee nyuma ya akina Dr. Slaa?? Marekani yake iko vijijini kwa dhana IPI?
haha..ndio Dira yake..Mara nyingi hata watu washamba huwa kuanzia ujenzi,mavazi,wanawake ,na kila kitu huchukia ktk vile vilivyo wazengua kipindi fulani na kuwaamsha macho.Ayatoullaha hadi kufa hawezi kwenda mbele bila kuangali Mbowe na Dr.Slaa au CDM nzima inakwenda wapi na kufanya nini?
 
hakuna ubunge wa viti maalum kwa wanaume, acha sifa zisizokuwa na mashiko kauze sera kwa wananchi.

Hivi voucher ya pesa za kuwa motivate haija mature? Naona juhudi ya kuwatetea masters wenu kwa hoja imepungua sana!
 
Mimi nashangaa mabandiko ya huyu mkongwe mwenzangu. Amejiunga JF tangia 2006 bado tu hajajua kuwasiiana. Mwanzoni nilidhani ni under age lakini kwa kujiunga JF 2006 naondoa hiyo dhana. Kuna kingine zaidi ambacho nashindwa kukibaini. Labda kweli ni pro.
Ok..huna kingine kabisa cha kusema?
 
na kwa jinsi walivyokuwa wakisafiria nyota ya wenzao kwa kweli sasa wataendelea kuwa too locl hivi umeona na sampuli ya watu wanaofuatana naye duh
Haha..kaamua kwenda kinyumbenyume..huyu dogo zijui mtu utastandardize kiasi gani ili aweze vuka viwango vya watu wenye akili timamu.
 
na kwa jinsi walivyokuwa wakisafiria nyota ya wenzao kwa kweli sasa wataendelea kuwa too locl hivi umeona na sampuli ya watu wanaofuatana naye duh
Haha..kaamua kwenda kinyumenyume..huyu dogo zijui mtu utastandardize kiasi gani ili aweze vuka viwango vya watu wenye akili timamu.
 
mbona mnatoka nje ya mada hivi ikitokea ccm imechukua urais mwezi wa kumi tareh 30 mwaka huu itakuwaje ila sishangai kwani kwenye kitongoji changu chadadema ilishinda wiki kabla ya uchaguzi hatima tukawacharaza tatu bila
 
Wewe una kitongoji? Ungesema una fisi ningekuelewa, kumbe huku kwetu bado mpo watu wa aina yako? Tuna safari ndefu sana garma
 
Back
Top Bottom