Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 21,014

kuna hatari kubwa ya kupata kansa ya kinywa na koo kwa watu wanaotembelea huku. pia kuna hatari ya kupata gono ya koo. kuna jamaa aliwwahi enda akarudi na vidonda mdomoni. pia mwingine juzi kapost aliharisha, nafikiri ni baada ya kukutana na fecal matters zenye E.coli. sisemi msiende ila tu kuweni makini na wenyeji wenu, wengine si watu wema.