Acha kukariri, kusoma sana si lazima uwe tajiri, kwani hata wamiliki wa facebook, google na Microsoft waliacha shule, kwa maana si wasomi lakini leo ndo wanaotikisa dunia kwa utajiri......ni wewe humuoni katika shughuli za kijamii lakni anafanya makubwa kuliko hao wanaotoa michango ya elfu kumi...
Interchik wamejipanga sana wale wakenya, sio wa kujifananisha nao...ila pia ni changamoto kwetu watz kujipianga kufikia level zao kama wao wameweza na sisi pia tunaweza, cha msingi ni kuwa na malengo
Mkuu naona unapotosha, kwanza Kwa Remmy hakuna bonde wanalolima mbogamboga na matunda, na ni Urafiki gani unayoizungumzia iliyopo karibu na Kwa Remmy??? Kajipange bwana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.