Interview pes | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Interview pes

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by SYENDEKE, May 10, 2012.

 1. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  wanajavini nimeitwa kwenye interview na hawa jamaa pes aliye wahi kufanya interview pale wakoje au ndo uleule ubabaishaji wa hizi recruitment agency zetu

  msaada please
   
 2. King2

  King2 JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,292
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Pes ndo nani hao.
   
 3. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  proactive employment solution ni recruitment agency
   
 4. N

  Ndikwega JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 4,355
  Likes Received: 1,641
  Trophy Points: 280
  wanajavini nimeitwa kwenye interview na hawa jamaa pes aliye wahi kufanya interview pale wakoje au ndo uleule ubabaishaji wa hizi recruitment agency zetu

  msaada please

  Hata mimi nimepokea msg pamoja na email.wameeleza kuwa interview ni on monday May 10,2012.Vipi umeelewa hapo, mbona J3 ni May 14,2012? au imefanyika tayari maana May 10, 2010 ni Jana?
   
 5. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mimi wameniambia interview kesho tar 11 may saa 2.30 na wamenipa na link jinsi ya confirm meeting hiyo sasa sijui wewe kwanini iko hivyo kwako pengine bado wanakwenda kwa zamu
   
 6. King2

  King2 JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,292
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  office zao zkowapi mkuu nami nijaribu kutupia Cv yangu.. Hafu tuone.
   
 7. networker

  networker JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 565
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Nisha fanya nao interview na kazi nikapata ,hawana longo longo utamkuta dada mmoja anaitwa Lisa ndio Hr hapo nadhani z

  we jieleze vizuri tu meza Cv yako vizuri na ji brush na common interview questions.kwa sababu hao Pes wao ni agency tu jitaidi kiasi chako maana hiyo sio real interview. the real interview utafanya badae na kampuni husika.
  nilivyo fanay interview nilikaa like two weeks ndio nika ona their email,unaeza enda pale wakakuliza ume kuja kufanya nini,mana huwa wan sahau kama wame schedule interview na watu inaeza enda ukaona kama wazinguaji,bada ya kupata kazi ndio nkajua wako serious sema.nilivo enda mimi walinimbia niende asubui sana naenda wana niuliza umekuja kuleta cv au nikamamwambia no nime kuja for interview ndio waka kumbuka nikafanay interview. ingawa wako serious in wat they do nadhani administration yao ilijichanganya for that day ila wako poa hawazingui  Location yao .Panda gari la kwenda mbezi beach shuka Tangi bovu chukua bodaboda mwambie una enda RainBow ukifika rain Bow hapa hapo utaona jina lao pes.
   
 8. King2

  King2 JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,292
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  pamoja sana mkuu. Ngoja nami niwacheki.
   
 9. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #9
  May 11, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  thanks very much ndugu umenipa mwanga nitafanya hivyo gudluck
   
 10. P

  Pweza Dume Member

  #10
  May 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  kama kuna mtu anafahamu namna ya kujiunga na hawa PES atoe msaada please....tungependa kufahamu na sisi
   
 11. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #11
  May 11, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  u can check na email yao ukaweza kutuma cvs yako if ok kuinform recruitment@pes.co.tz
   
Loading...