Recent content by pwagi pwaguzi

  1. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mwanaume anataka kunioa lakini ana maumbile madogo

    Yan hii lugha huwa ciielewi, umetumia kipimo gani kutambua kuwa ana kibamia Inawezekana yeye anayo ya size sawa ila wewe huenda una bwawa ndo mana imepwaya kwako Jitafakari kwanza size ya dudu yako
  2. P

    JamiiForums Tanzania Viongozi hawa wa Kisiasa wa CHADEMA wangekuwa Wahubiri Dini Watu wengi tungeenda peponi

    Kwa hyo na wew umeona umeandika la maana Hakili za mchwa kabisa
  3. P

    JamiiForums Tanzania Lema: Nawatakia kila la heri madiwani waliohama na kujiunga na CCM

    Kwani kakosea nini kuandika hvyo, mbna unaonekana umeandika kichwa cha habari kana kwamba unamkomoa lema, sote tupo ndani ya nchi hii na ni sote tunaosulubika na utawala huu, labda wew umepewa nafac ya utoza ushuru ndo mana unaonekana kama, wewe una nafuu Hakili za kukopeshwa kabisa...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mbosso khan ameleta balaa nyingine mpya

    Sasa ndo nimeanza kupata chanzo cha yale yanayoendelea kwa yuleeee ruge
  5. P

    JamiiForums Tanzania Tambua jinsi wapenzi wawili wanavyopiga punyeto kila wanapofanya mapenzi na madhara ya punyeto

    Du kiasi fulan yana ukweli japokuwa umetoa bila scientific evidence and references Ila asante kuna kitu cha kujifunza kwa mtu muelewa
  6. P

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe hivi inafika misimu mingapi Yanga haijapigiwa penati langoni kwake

    Nalo neno kwa kweli Mimi nakaa pembeni acha waje wenyewe
  7. P

    JamiiForums Tanzania Chimbuko la ugaidi duniani ulipoanzia mpaka sasa hivi ulipofikia.

    Du, i nimepata somo hapa la kushiba kabisa asee
  8. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Odinga kwa kuapa kama "Raisi Wa Watu", kavunja sheria gani?

    Mhhi. Ngoja mimi nipite kwanza
  9. P

    JamiiForums Tanzania EPL: Man city 3-0 west bromwich; Chelsea na Manchester utd 'wang'olewa' meno, mbio za ubingwa kwaheri.

    Kabisa bro, kaleta changamoto kidogo Epl,huwa hana hasira juu ya wachezaj wake pindi team inapopata matokeo mabaya, hiki kitu kimeifanya man city ifike hapo ilipo now
  10. P

    JamiiForums Tanzania EPL: Man city 3-0 west bromwich; Chelsea na Manchester utd 'wang'olewa' meno, mbio za ubingwa kwaheri.

    Guadiora kwa kweli tukiacha unafiki tu huwa anawajaza morali wachezaji wanacheza kwa team work na ari kubwa muno
Back
Top Bottom