Alichokosema Leo padre aliyeendesha misa ya kumuaga msanii maarufu nchini Uganda Mosey Radio

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Jan 12, 2017
4,824
5,561
Padri aliyeendesha misa ya kumuaga marehemu [HASHTAG]#MowzeyRadioaitwae[/HASHTAG] Katerega Kiibi jana kaendesha misa vizuri. Nilichopenda kutoka kwake aliongea ukweli wote bila kuficha kitu mbele ya kadamnasi.

Alisema kuwa wasanii inabidi waache kutumia Vilevi vya aina yoyote, Waache kuishi maisha ya anasa, waache kuwatelekeza wake zao na waache kabisa kujihusisha na ugomvi usio wa lazima. Kaenda mbali na kudai kuwa watu wanapokuwa maarufu wananza kuishi maisha ya kiovu na kuwa na tabia mbaya.

Hakuishia hapo aliwapa na ushauri pia kuwa wasitumie pesa vibaya, wajifunze namna ya kuitumia. Wajifunze namna ya ku handle umaarufu. Aliongezea: kwanini huwezi kuwa na matumizi mazuri ya pesa unayoingiza ukazuia watu wasiandae harambee ya kukuchangua wakati ulifanya kazi zaidi ya miaka 20 na uliingiza hela nyingi?? NENO MOJA KWA MCHUNGAJI HUYU TAFADHALI

Source :instagram
 
Huyu mchungaji yuko vzr sana hana tofauti na Mzee wetu anaeleza ukweli akisema mtafute cha halali ndio mle maana yake ni hiyo sio wale wa ufipa kuahidi watu kuishi kama mbinguni jambo lisilowezekana.
 
Back
Top Bottom